Ongezeko la mishahara kwa walimu

so, pamoja na kusahishiwa upya mtihani, bado umepata zero??

pole sana mwalimu kwa kufeli mitihani yako ya huko nyuma na kujikuta umeangukia kwenye hyo professional ya kimasikini.ngoja nikunong'oneze,me toka nimeanza kusoma cjawahi kufeli mtihani wa level yoyote ile kama wewe.
 
Mkuu sio TGS D ni TGTS jaribu kuwa na uhakika na unachoandika, yapo mambo mengi yanayosababisha wanafunzi kufeli na si kweli kwamba walimu huchaguliwa wale waliofeli. kiwango cha kuingia chuo cha ualimu ni kuanzia IV 27 kwa wasichana na IV 26 kwa wavulana mpaka division I kwa diploma ni prinsiple pass I na s moja ya somo uliosea hadi division I. shahada ni sifa zinazojulikana nacte au vyuoni.
 

Lakini ndo wamekusaidia unachezea keyboard zako hapo....usiwadharau kwa kuwa upo juu yao kwa sasa.HILO NI TATIZO KUBWA SANA,UMEENDA MBALI SANA
 
huna jipya,kale vumbi ya chaki huko.

Siyo bure kama ni elimu ulopata itakuwa ya kuiba mitihani kwani nijuavyo mm wenye uwezo thabiti hawajisifu. Au kama vp anika academic background yako hapa tuone kama kweli ni mtu wa kufikiriwa ktk hii jamii.
Wengine wamesoma ualim si kwa sababu ya matokeo yao kuwa mabovu bali ni tatizo la ajira kwa nchi hii, kwan ajira zimekuwa ni za kupeana mno, jambo linalopelekea watoto wanaotoka familia za kawaida kuishia ualimu kwa ajiri ya uhakika wa ajira. So kijana jaribu kuongea kwa busara na sio kuwajaza watu sumu hadi wanafikia hatua ya kutukana.
 
Ndio nimeamin kuwa kuna watu hawajui nini maana ya mwalimu

Siwashangai kwa kuwa huenda kweli wana uwezo mdogo wa kufikiria kama plato alivyowaita "iron boys" ila kinachoniskitisha kuwa hawa watu hawajabarehe sasa najiuliza wameingiaje JF wakat bado ni watoto wadogo sana kifikra

Mtu unaposema eti "wanafuata bumu" umefikiria kweli, unajua kuwa cut off ya MBB, BSc in chem, bio, geog, general, F&A, Ed, faculty nyingne nying ni ileile

Au wewe unaposema wanafuata bumu tu unamaanisha nini?

Najua ulikosa nafasi ya chuo hvyo unaendeleza wivu wako wa kijinga
 
pole sana mwalimu kwa kufeli mitihani yako ya huko nyuma na kujikuta umeangukia kwenye hyo professional ya kimasikini.ngoja nikunong'oneze,me toka nimeanza kusoma cjawahi kufeli mtihani wa level yoyote ile kama wewe.
Poa zero nimekuelewa.....bye zero.....ila ukiweza tafsiri msemo huu,, "artificial education is no match to natural stupidity"...sawa zero??
 
eti nawe unajiita mwalimu!akili imejaa makamasi tu,na mtaendelea kula vumbi la chaki mpaka yesu arudi mabogus wakubwa nyie.

Kwa nini unawatukana hata ambao hawajakujib kit na wengine hata hawaijui hii JF? Jaribu kutumia akili yako vizur japo kidogo! Haya yanatukera hata kama wote sio walimu.
 

Unadhani kwa matusi unayowaporomoshea ndio suluhu ya matatizo unayoyasema kuhusu hao waalimu?
 

pumbavi sana wew..czani kama una akil timamu na umewaz hich ulichosema kwn yawzkan hat elimu uliyonay ni ya mulugo....shnz sana wew hbu jitahid kuhshm elimu na kaz za watu...jiangalie san katk kuandk thread
 
inanisikitusha kwan wanaofundishiwa watoto wao wanaonekana kufurahishwa na madhingira ya kazi ya walimu ilihali yanaleta madhara mpaka ktk elimu ya watoto kama sio wadogo zao
mweeeeeeeeeeeeeh
 
Du afadhali walimu waongezewe mishahara wapungue kule Slip Way usiku kwenye part time job!

hahaaaaaaa walimu mbona watakoma dis tym kwa hiz jokes cuz zipo km vle zimejaa ukwel
 
Hahaaaaaaaaa hili nalo inabidi liangaliwe vzuri cuz somtym lisemwalo lipo, kuuza kashata khaa khaa iiiiiiiiiiiiiigwee
 
Reactions za walimu hawa wa kidigital zinaonyesha hawana busara,mwalimu wa kweli kitaaluma hawezi kuandika matusi makubwa kwenye jukwaa linaloheshmika ama JF..mi naona uwezo wao wa kufikiri unaendana na mshahara wanaolipwa wawe wapole tu.

una uhakika gan kwamba walioandika matusi ni walimu??
 

alikosa nafas ya chuo au alipata ziro form 4?? Ata unavyomwambia cut off point we unafkr anajua? Achana na huyo mbwiga.
 
Kwa tetesi nilizonazo eti ongezeko la mishahara ya watumishi Tanzania 2013 kwamba walimu 25 percent, afya 60 percent na 55 percent sekta nyinginezo, hivi mwalimu nchi hii amekosa nini? hivi serikali hii ina maradhi gani? ni bora serikali ingeacha mambo kama yalivyo kulikoni kebehi hii kwa walimu kwani wasitegemee mapinduzi yoyote ya elimu bali zero zitaongezeka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…