Ongezeko la mishahara kwa walimu

ungejulia wapi jf wewe acha ushoga madaktari wenyewe walifudishwa na walimu...
Lakini sio walimu wasiofundisha ambao kazi yao ni kudai mishahara kama wa shule za kayumba nadhani matokeo yake unayaona zero kibao,usitegemee kutoa daktari,zamani walimu walikuwa na wito wanapiga kazi kinoma thus why walitoa product za ukweli.....bisha?
 

asee tupo pamoja sana mkuu...
 

acha kuongea ulojo wewe kichwa kikubwa ubongo wa mende.
 
Nimejaribu kupiga hesabu hapa,kama kwasasa graduate anapata basic 532,000/- na kama wakiongeza 20% basi basic itakua 638,400/- ukiweka makato yote take home itakua 500,128/-
 

Chama cha Walimu ni chama pekee kinaCHOFANYA KAZI. Kimejenga majengo mengi nchini na vyama vingine bado viapangisha. Kwa hilo tuwapongeze viongozi wetu. Acha kuwavunja moyo!
 
Peryy imekosea ndugu yangu. Siku nyingine jitahidi kudhibiti ulimi wako katika kuwasiliana. Fino da final; Mtamanyali, Meljons, The Secretary, Laurence na Taifakwanza; na wengine wote tuliokwazwa na kauli ya mropokaji huyu TUMSAMEHE BURE. Kwanza ametufanya tutoke kwenye mada. Perry kitahidi kujifunza uungwana.
 
Kabla hujacoment uanze kuweka level yko ya elimu ndo umake argument coz wa2 ka ww huchapwa na fimbo ya nyama
 

"mwalimu wako anaonekana alikutomasa kabla ya kukufundisha ndo mana unamlaumu , mwalimu wangu m nlikumbal"
 

Kama ni viumbe alivyo umba Mungu hukustahili kuwa unatembea kwa miguu miwili. Hao unawaita vilaza ndio waliokuwezesha ukaandika upuuzi huu. Kama ni laana inakufuata kwa dharau uliyoionesha kwa viumbe dhaifu hawa. Kila la kheri kwa ukipanga ulio nao. But soon U will be where U belong.
 
Sikiliza wewe kama vipi basi nenda na wadogo zako darasani ukajisomeshe mwenyewe, itakuwa poa sana mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…