Ongezeko la mishahara: Sekta binafsi hatuna Serikali?

Wanajua tu huko utadai haki zako. Ila kiukweli ni janga la taasisi nyingi sana ambazo zimebase kwenye profit kwanza
 
Wanajua tu huko utadai haki zako. Ila kiukweli ni janga la taasisi nyingi sana ambazo zimebase kwenye profit kwanza
 
Wanajua tu huko utadai haki zako. Ila kiukweli ni janga la taasisi nyingi sana ambazo zimebase kwenye profit kwanza
Therefore we return back to where their aim is to maximize profits and minimize the risk and costs.
 
Nchi hii ina watu wajinga sana, na kwa bahati mbaya unaweza kuta una degree
 
Sector Binafsi hakuna TGDS scale ,ni negotiation tu! Kwahiyo ukiajiriwa sector binafsi jitahidi kunegotiate vizuri na HR.
 
Akili ni nywele, Ila nadhani ww una upara
Mpaka hapo imethibitisha kuwa wewe si contractual employee na wala huongozwi na labour laws za JMT. Wenye akili wanakucheka kwakutofahamu jambo hili dogo ambalo kila mwenye PAE analifahamu. Haya endelea kupambana na casual work yako, utatoboa tu jombaa
 
Tunaamkia wapi sasa?

Tuendelee kupambana na hali zetu… maana tukiulizwa kwani serikalini hamkupaona? Sijui kama tuna majibu [emoji2]
But ni serikali tu imebweteka, mbona Kenya huwa wanawapa private sector ongezeko lao pia na kampunis isipofanya wafanyakazi wakashtaki inaeza hata fungiwa na kuwalipa fidia wafanyakazi kwa ile miezi ambayo hukuwapandishia, shida hata vyama vya wafanyakazi Tz ni ujinga mtupu hawako strong, Kenya unaweza hata kuuawa na wafanyakazi ukiwaibia haki yao, they know their rights
 
It's a matter of time ...hata sector binafsi waliacha kupandisha serikalini walivyoacha.
 
Naona unaongeaa story za kwenye Vitabu kijanaa...
 
HATA TUICO SIO KWA AJILI YENU.
°ANZISHENI TUICO YENU.
AMBAO NAAMINI ITAKUWA NA NGUVU KWELI MAANA NINYI NI WENGI KULIKO WA MFUMO RASMI.
 
Naona unaongeaa story za kwenye Vitabu kijanaa...
Hivi huwa mnafanya kazi wapi? Au nikutokujua sheria za kazi na za Nchi? Au mnafanya kazi bila mkataba kati yako na mwajiri? Sasa mnaamua kuchanganya watu wenye mikataba yao? Kazi yoyote yenye mkataba inafata sheria za kazi na sheria za Nchi na ndo inamlinda mwajiri na mwajiliwa, au mnafanya kazi sehemu zilizo nje ya mfumo wa usajili serikalini? Wale waliokatika mfumo wao wameelewa japo ni binafsi bado wanalipa payee, pia wao wanakatwa Nssf na mikataba yao imeeleza Sasa sijui unabisha nini? Wakati Sasa Kila mfanyakazi mwenye mkataba analipa payee TRA na ni lazima ndo maana nikasema TRA wanakuja kuchukua Kodi na kukagua kama huo mshahara unaendana na kima cha chini cha mshahara wa serikali kama sehemu yako ya kazi hufanyiwi hivyo basi jua upo nje ya mfumo wa usajili serikalini.
 
kukatwa paye na nssf sio kigezo cha sector binafsi kufata masharti ya serikali.. uliza watu wangapi wa sector binafsi wanafanya kazi mpaka jpili...wangapi wanafanya overtime na hawalipwi hizo hela.. hizo nssf zenyewe maboss wanakata ila hawapeleki helaa ila HUWEZI KUFANYA LOLOTE zaidi ukitaka maslahi makubwa uache kazi ukatafute kwingine kwenye maslahi unayotaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…