Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Huku mtaani kuna vipanya fulani hivi vina pua ndefu na mlio mkali sana vikilia utadhani ni mtu anasugua chuma.

Cha ajabu hivi vipanya ukitega kwenye mtego kikanasa panya mwenzake akija kukikuta hapo anamla utumbo na nyama laini zote za ndani ngozi anakuachia hapo.

Kingine hawa panya hata umrushe hapo paka au kunguru hali sijui wanaladha gani, na niwakali ukikutane nae anakufuata hata mguuni ili akuume nasikia wanasumu kali sana akikuuma kupona ni shughuli nyingine.

Naomba serikali upande wa wizara husika wafanye utafiti kabla hawajawa wengi wakajaleta madhara baadae.
 
KATAZAME HII UTAWAPENDA HAO PANYA
Screenshot_20240215-152532.jpg
 
Back
Top Bottom