Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

Ongezeko la panya wa ajabu mtaani

Huku mtaani kuna vipanya fulani hivi vina pua ndefu na mlio mkali sana vikilia utadhani ni mtu anasugua chuma.
cha ajabu hivi vipanya ukit3ga kwenye mtego kikanasa panya mwenzake akija kukikuta hapo anamla utumbo na nayama laini zote za ndani ngozi anakuachia hapo.

Kingine hawa panya hata umrushe hapo paka au kunguru hali sijui wanaladha gani,na niwakali ukikutane nae anakufuata haymta mguuni ili akuume nasikia wanasumu kali sana akikuuma kupona ni shughuli nyingine.

Naomba serikali upande wa wizara husika wafanye utafiti kabla hawajawa wengi wakajaleta madhara baadae.
Ngoja serikali imalize misiba kisha itapanga mikakati kwa kushirikiana na majeshi jinsi ya kupambana nao, ila tutasubiri majeshi yarudi toka Goma.
 
Popoma aliropoka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatumia nguvu kubwa sana kutaka KUNISHUSHA na kuonyesha kuwa sina THAMANI hiyo ila mlichokisahau tu Wapumbavu wa mfano wako ni kwamba GENTAMYCINE nimebarikiwa SHANI / TUNU nyingi na Mwenyezi Mungu ambazo ndizo zinawafanya muwe na WIVU nami na MNICHUKIE kisha mnaendelea tu KULAANIKA hapa duniani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
 
GENTAMYCINE ( Nyangumi ) ndiyo huwa anaanzisha Mwendo wa Mijadala na Mada fikirishi na Mada taarifa hapa JamiiForums kisha Wengine ( Dagaa ) huanzia hapo au huniiga.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!!
Hakuna anayekupinga mkuu.
 
IMG_1091.jpg

Aya picha hiyo hapo. Vinapiga kelele balaa
 
Ni matokeo ya kile kikao chao, kikao kingine ni wiki ijayo na mojawapo ya mkakati ni kuwaondoa wanadamu ndani ya nyumba zao kwa kutafuna nyayo na wakati wa mtanange wanakula tak..
 
Back
Top Bottom