Ongezeko la shule ndiyo sababu ya shule nyingi kufa na kuibuka mpya

Ongezeko la shule ndiyo sababu ya shule nyingi kufa na kuibuka mpya

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Elimu inatakiwa kufika kila kona ila sio elimu ili mradi elimu tu. Nilitembelea shule moja iliyopo Yombo Vituka ya wazazi, kiukweli ni kama imebaki magofu ukilinganisha kipindi cha 2008 kushuka chini.

Miaka ya nyuma kulikuwa na shule chache zenye ubora na kutoa idadi nzuri ya wanafunzi ila kwa sasa shule zimekuwa nyingi ziwe za Serikali au binafsi ila ni kama zinafanana maana anayepata ziro na divion one wote wanafanana sababu ni mzingo wa taifa huko mbele.

Shule nyingi zimekufa na shule nyingi zimeibuka mpya. Sikatai kuwa elimu imetanuka ila imetanuka na kuzaa vijana wasije kuwa mzigo huko mbele.

Kuna siku mtakuja kuuliza shule zenu mtaambiwa zilikuwepo.

Hii ni form 6. Hapo ndo mwisho wa shule.

s0645.htm-1.jpg
 
Back
Top Bottom