Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makande
Makande
Makande
piga korosho na karanga kwa sana,
Siku hizi imeongezeka na vipande vya mihogo- wakina mama wanauza sana kwenye foleni dar!!
Mkuu Kunta Kinte salama wewe ndugu, kitambi sana.
Kiongozi nipo ndugu yangu, dunia inatuelemea zaidi!!
Chukua mayai ya kienyeji saba ukoroge ndani ya asali vijiko vikubwa vitatu kwa siku moja,mara nne kwa wiki sio mbaya. Au chukua maziwa ya unga mfano nido uweke kwenye kikombe kikubwa had nusu na robô plus na asali vijiko vitatu pamoja na maji nafasi iliyobakia na ukoroge had zege lichanganyike...pendelea kutumia zaidi,utaona matokeo tofauti kwenye sperm production na heavy weight yake...hii ni special kama una mke,kama haujaoa utaathirika na maradhi ya hapa na pale...
Makande
Sina uhakika. Ila nimethibitisha mm binafsi kwa kujaribu vitu tofauti tofauti...mkuu hii ya maziwa NIDO na asali ina uthibitisho wa kitaalamu?
kula vifuatavyo mtu wangu
1.matunda km parachichi,kokomanga,tikiti maji na mbegu zake ndizi,pili pili
2.vitunguu swaum na tangawizi changanya na asali
3.kula cna chokolate
4.kunywa maji mengi na mazoez
5samak aina ya oystar
pendelea cn mboga za majan ni nzr cn