Ongezeko la viwanda Kenya limesababisha mahitaji ya umeme kupitiliza 1,900 megawatt (MW)

Bwawa letu likikamilika Umeme tz unit 4.6 utakuwa tsh1000 tu hapo itakuwa mwisho wa matumizi ya mkaa Kwa kukata miti hivyo mvua zitazidi kuongezeka tz na wanyama pori wataongezeka kwenye mbuga zetu hata sasa toka magu kushika nchi wanyama wameongezeka sana,na viwanda ongezeka na bidhaa kushuka bei sana .wakenya lazima hayo yote yakitokea tz ninyi mtachinjana tu Kwa hasira uchaguzi ujao
Hujielewi, tutakuwa hapa mwakani. Naona unadhani power demand kupanda hata na 200MW ni mzaha. Vyerehani na vinyozi mtavifungua hadi mchoke.
 
Shangaa na chi ya maziwa na asali kwanza...
Mmebarikiwa karibia kila kitu... si madini, vivutio nk...
Na bado mnakomaa na umaskini km wengine tu
Na Kenya mmekosa kipi hadi nanyi muwe maskini?

Mna bahari

Mna maziwa

Mna vivutio vya utalii

Lakini pamoja na yote hayo, bado nchi yenu nayo ni maskini!!

Yaani kutokuwa na madini tu ndo unaona uhalalisho wa nyinyi kuwa maskini?!

Au ndo zile zile akili za kuamini madini ndo kila kitu wakati likampuni likubwa kama Barrick Gold linalochimba dhahabu na madini mengine duniani kote, net profit wanayopata kwa mwaka haifiki hata USD 5 Billion lakini bado unaamini Kenya kutokuwa na madini ndo excuse!
 
Bwawa letu likikamilika Umeme tz unit 4.6 utakuwa tsh1000 tu hapo itakuwa mwisho wa matumizi ya mkaa Kwa kukata miti hivyo mvua zitazidi kuongezeka tz na wanyama pori wataongezeka kwenye mbuga zetu hata sasa toka magu kushika nchi wanyama wameongezeka sana,na viwanda ongezeka na bidhaa kushuka bei sana .wakenya lazima hayo yote yakitokea tz ninyi mtachinjana tu Kwa hasira uchaguzi ujao
Wanyama wameongeze kweli kabisa...
Naskia samaki wamefika wangapi vile, kulingana na ile data yenu ya ccm
 
Na Kenya mmekosa kipi hadi nanyi muwe maskini?

Mna bahari

Mna maziwa

Mna vivutio vya utalii

Lakini pamoja na yote hayo, bado nchi yenu nayo ni maskini!!

Yaani kutokuwa na madini tu ndo unaona uhalalisho wa nyinyi kuwa maskini?!

Au ndo zile zile akili za kuamini madini ndo kila kitu wakati likampuni likubwa kama Barrick Gold linalochimba dhahabu na madini mengine duniani kote, net profit wanayopata kwa mwaka haifiki hata USD 5 Billion lakini bado unaamini Kenya kutokuwa na madini ndo excuse!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unajitetea kijinga kwel...
Kinachonishngaza kenya tumewazidi sekta nyngi pamoja na hvyo vitu vyenu ambavyo mmebarikiwa
 
Madini ni kichocheo kikubwa Cha uchumi,mimi hapa namiliki gari kubwa kwa sababu ya madini .

Ulichoongea, nami nimeshaongea mara nyingi sana kama mada mada zangu za kuelezea nguvu kubwa ambayo JPM ana-invest kwenye madini ukilinganisha na rasmmali zingine kama vile gas!

At firm/individual level, madini ni bonge la biashara kwa sababu ukidaka 10KG tu za dhahabu, ni pesa ndefu!

Hata hivyo, sio deal kihivyo at government level... WHY? Kwa sababu ingawaje madini kama dhahabu yanauzwa ghali sana lakini upatikanaji wake ni shida, na ndio maana ni expensive! Lakini wakati upatikanaji wake ni mgumu, cost ya kupata hicho hicho kidogo ni kubwa!

Matokeo yake, ndo pale unakuta kampuni pamoja na mamitambo yake yote, unakuta yearly revenue haifiki hata USD 2 Billion... na hapo hapo serikali ndo inategemea ipate kodi yake, ipigwe hapo hapo, n.k! Lakini hapo kampuni au mtu kama wewe hata ukiishia kupata USD 2 Million, bado ni pesa nyingi sana!!!

In contrary, kitu kama mafuta na gas ingawaje bei yake sio expensive kama madini lakini kama una gas mathalani, basi kwa mwaka unaweza kuchimba billions of cubic feet, ambayo itakupatia billions of USD just from tax!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unajitetea kijinga kwel...
Kinachonishngaza kenya tumewazidi sekta nyngi pamoja na hvyo vitu vyenu ambavyo mmebarikiwa
The problem unadhani kila mtu ni shabiki wa Kenya vs Tanzania huku mkitambiana vitu ambavyo 99.9% yenu hamvimiliki!

Wewe usingekuwa mjinga, ungeitathmini hoja yangu ya kuwa too concerned na namna gani tulivyo na safari ndefu ya kupiga hatua! Kama nchi ya watu takribani 50M demand yake ya umeme ni 2000MW kwako hilo ni jambo la kuonea fahari basi utakuwa na safari ndefu sana ya kujua unataka nini!!

Nimekupa mfano wa nchi maskini kama South Africa, demand ya umeme ni zaidi ya 30,000MW, wewe unaonea fahari 2000MW? Are you serious?!
 
Ndipo nikakwambia, mbna usianze kushangaa na nchi yenu ya asali na maziwa...
Anza kuishangaa tanzania kwanza, wacha unafiki wako hapa wa kujifanya muungwana hku ukijishangaza na wakenya wakati kwenu hali sio hali...

Halafu kuhusu kuendelea,hta somalia pia wanataka kuendelea kw kila kitu...lkn hamuezi kukurupuka tu km wehu, nchi demand yake yenyewe kiduchu, halafu unalazimisha uzalishaji wa umeme uwe sawa na wenzetu wa ulaya...
Ukiendelea kuwaza hvo, utakua chizi manake ukumbuke kila kitu ni hatua, cz hakuna aliyeanza juu..
Sasa wewe km unamuona dangote ni tajiri na wewe unataka kuwa km yeye kw mda mfupi bila ya kujiuliza kaanzia wapi...
Utakua mwanga na wewe uanze kulala makaburini..
 
Ngoja nikupuuze manake unaonekana una kipaji cha upumbavu!
 
Nimekupa ukwel ndo manake unakimbia...
Nenda baba, hapa ni mwendo wa dozi tu...

Kila kitu ni hatua jomba, bila kufurahia matunda kutokana na hatua unazopiga basi utaumia sana katika hii dunia..
Manake utataka kuwa km wengine wakati mda bado hauruhusu
 
We ndo mkenya ambaye kdg unajitambua leo kdg umeongea point [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom