Ongezeko la vyuo linapunguza ubora wa elimu

wazirihusika

Member
Joined
May 17, 2013
Posts
83
Reaction score
82
Ongezeka la vyuo vingi vinavyotoa certificates na diploma haswa vilivyo chini ya NACTE vinapunguza ubora wa elimu tanzania.Wanafunzi wengi katika sekondari hawana juhudi binafsi kwa sababu wengi wamepanga kujiunga na vyuo hivyo vyenye ubora mdogo kuliko kuendelea na kidato cha tano na sita
 
Sidhani, kwamba unataka kusema vikifutwa ufaulu utaongezeka?
Umeshasoma ripoti za chanzi cha kushuka kwa kiwango cha elimu??
Hebu zitafute humu usome kwanza
 
Sidhani, kwamba unataka kusema vikifutwa ufaulu utaongezeka?
Umeshasoma ripoti za chanzi cha kushuka kwa kiwango cha elimu??
Hebu zitafute humu usome kwanza

Sio kwamba kutaongezeka kwa kiasi kikubwa ila kutasaidia kuongeza userious kwa wanafunzi,nakumbuka zamani wakati tunasoma ukiwa form four unawaza form five lakini watoto wa siku hizi wanawaza vyuo tu.Kinachoniumiza ni course zinazotolewa na watu tena wasio na ujuzi katika sector husika
  • certificate in HIV councelling(UK)
  • Certificate in Bussines administration(UK)
  • Certificate in ........................(UK)
  • Certificate in..........................(UK)
labda ninauelewa mdogo kuhusu hizo certificate,ubaya zaidi after six months mtu anagraduate.CHUO KIPO KARIAKOO GHOROFA XXX CHUMBA NAMBA XXX.Microsoft word,excell.publisher pamoja na kingereza ni bure.
 
Teh teh hayo majanga, ngoja wenyewe waIV waje wakusikie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…