Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wadau miaka miwili kutoka sasa sidhani kama kutakuwa na m-bongo anayefanya biashara kariakoo, sababu nimepita karibuni mitaa miwili nimekuta asilimia 80 ya vibanda vinashikiliwa na wachina, tena wanauza bidhaa reja reja, kazi kwetu watanzania...[/QU
asa kama wabongo wamelala, kwa nini wageni wasitumie hiyo fursa?? mwisho wa siku tutahitaji huduma, kama wa ndani hatoi tutakaribisha wa out to brother