Ben-adam
JF-Expert Member
- Jun 2, 2023
- 1,043
- 2,309
umemaliza kila kitu, mjadala ukomee hapaWatu wengi wanaonuka modomo sio kwamba hawapigi mswaki, la hasha. Wanapiga vzuri tu, shida ni hawajui kusafisha ulimi. Hata upige mswaki na jiwe, kama hujasafisha ulimi vizuri lazma mdomo utatema tu.