Ongezeko la wafanyabiashara wa vipodozi vya kung'arisha haraka: Uko wapi udhibiti wa Serikali?

Maana vimejaa hatari
 
Maana vimejaa hatari
Ni watoto wa kike kupewa elimu tu ,vipo vitu vingi vina madhara lakini watu hawatumii kwasababu wana uelewa.

Vina Soko ndiyo maana vipo vingi ,hapo ni serikali tu kuongoza uthibiti ili visienee sana..Nakumbuka long time kulikuwa na Carolight na sabuni ya jaribu ,naona vilipigwa marufuku sijui kama bado vipo.
 

Serikali haiwezi kushughulikia watu wajinga ambao zaidi wanatakiwa watumiwe kuwapa wengine wenye akili utajiri...hapo serikali itaingia baadaye baada ya wajinga kupasuliwa na ndio itajifanya imekuja kuwatetea.
Nahidi miaka ya baadae hapo kuna janga la kansa ya ngozi balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…