Hilo basi kama hao abiria watatoa sadaka mchungaji atazipiga balaa, nahisi ongezeko la wahubiri kwenye vyombo vya usafiri kuongezeka kunasababishwa na maovu kuongezeka na watu hawaendi nyumba za ibada
Hivi na kwenye lile basi walilopanda viongozi wa Afrika wakati wa mazishi ya Her Majesty Queen Elizabeth II hakukuwa na muhubiri kweli?
NB:Mnawekewa wahubiri kwenye mabasi ili muache madhambi na mtoe sadaka.