Ongezeko la wanywaji wa Mo Extra (energy drink) limesababishwa na nini?

Kiukweli hivi vinywaji vya kuongeza energy lengo hasa ni mtu atumie baada ya kuwa anafanya kazi ngumu mfano wabeba matofali, zege na kazi nyingine nzito nzito. Sasa unakuta mtu ni bodaboda akipiga trip 3 anarudi kijiweni anaagiza energy drink, hii ni hatari sana.
 
Masikini ukiwawezea unatokamo kimaisha ujue. Unanielewa masikini akili yake imejikita kwenye starehe kuliko kazi. Na wanapenda Ile instant gratification,wale vitu vitamu,wape mshahara,mpe zao la kuvuna ndani ya wiki,mpe utamu wa hapo hapo ndio atakukubali. Sasa mwambie afanye project ambayo atapata manufaa from 5/10-25 yrs to come umekosana naye
 
Hivi ingekua ni unywaji wa Redbull ingelalamikiwa hivi? Coz nayo pia ni energy drink na madhara ni yale yale,

Si ajabu mtu akinywa Redbull anaweza kuonekana wa maana!
[emoji3][emoji3]
Redbull ni elfu mbili, hii MO energy ni jero tuu ndo maana zinakimbiliwa.
 
Redbull ni elfu mbili, hii MO energy ni jero tuu ndo maana zinakimbiliwa.
MO Xtra sio Energy Drink...

Energy drink lazima ziandikwe Energy drink, ya Mo ni flavoured Drink
 
Reactions: Tui
Huna akili ya kuelewa,umejaza vingereza ulivyokaririshwa tu ndani ya kuta 4 za Shule,
Fungua akili yako ujue Dunia imefika wapi.
 
Reactions: Tui
Tunyweni tu jaman myama Sc apate kunga’ara zaidi maana pesa zitakuwepo za kutosha,full kunyanyasa yaan.
 
Kinywaji cha taifa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…