yaani masai unapata wapo gati za kuniambia mimi hivyo? ati mbuga sio hiyo tu, kwahiyo kumbe lengo lenu mnataka kuiharibu kabisa mfanye makazi. shida ni kwamba akili hamna kujua kwamba muda si mrefu mtalisha mangómbe yenu manyasi yote, ukame utakuja hapo mangómbe yataanza kufa then mtahama wenyewe kufuata malisho mkaharibu maeneo mengine kama mlivyozoea, na hapo nyumba mmeshaharibu kabisa na wanyama wamekimbia au wamekufa na hakuna mbuga tena. ndicho mnachotaka? au hilo kichwani mwenu hakuna, mnawaza ng'mbe tu. ati mfumo wenu haunihusu, hivi kuna mtu anaweza kutamani mfumo wa maisha wa masai? jifunzeni hata kwa wasukuma tu basi, mbona wafugaji wenzenu kidogo wanakuwa na uelewa? mnalishwaga nini huko maporini?