PendoLyimo
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 969
- 1,055
- Thread starter
-
- #81
Acha ushamba wewee.....unajua maana ya Hifadhi?.... unajua kama simba anajua yeye anaishi hifadhini?.... swala anajua kama anaishi hifadhini?.... wao wanajua wanaishi kwenye maeneo yao ya maisha yao....sisi binaadamu ndio tunasema wanaishi HifadhiniHifadhi ilianzishwa Wamasai wakiwa pale pale Ngorongoro na wengine kuletwa kutoka Serengeti. Hapo ndipo eneo letu la kupambana. Tulipo hapo tunapambana kimaisha yani. Ni eneo letu la urithi. Hatuondoki.
Hapa ulitaka kusema nini? Mbona unaonhea vitu ambavyo havieleweki pamoja na kutokuwa kwako mshamba?Acha ushamba wewee.....unajua maana ya Hifadhi?.... unajua kama simba anajua yeye anaishi hifadhini?.... swala anajua kama anaishi hifadhini?.... wao wanajua wanaishi kwenye maeneo yao ya maisha yao....sisi binaadamu ndio tunasema wanaishi Hifadhini
Tatizo la wengi hili Yani ukiambiwa ukweli unasema Mtu kalipwa...Hapa ulitaka kusema nini? Mbona unaonhea vitu ambavyo havieleweki pamoja na kutokuwa kwako mshamba?
Tuliza akili uelezee uweze kueleweka na kujibiwa. Au mkwanja uliolipwa na Manongi umeisha?
Mkwanja umepita. Watu wamelipwa. Watu wamelipiwa press, wamelipiwa tiketi za ndege na mpunga wa mfukoni wamepewa.Tatizo la wengi hili Yani ukiambiwa ukweli unasema Mtu kalipwa...
Hahaha.hivi unafikiri mna muda mrefu hapo, mtafukuzwa na hamna la kufanya kwasababu watanzania walio wengi wanataka mtoke hapo. mtaburutwa pamoja ngómbe zenu bora waambie ndugu zako waanze kutafuta pa kuhamia mapema. hapo ifanyike operation kama ya kimbunga tu kuwaondoa kinguvu kama hamtaki kuondoka kwa amani. na hata dunia hamuwezi kuililia kwasababu ngorongoro ni urithi wa dunia.
Issue sio kuondoka ama kutoondoka...issue ni kuokoa maisha ya watu na hifadhi kwa ujumlaHatuondoki
Waarabu wanataka kujenga mahoteli wewe.Issue sio kuondoka ama kutoondoka...issue ni kuokoa maisha ya watu na hifadhi kwa ujumla
Utafikiri anamahaba na uhifadhi kumbe porojo,hapo kwako umepanda miti ngapi?,unawanyama gani?Issue sio kuondoka ama kutoondoka...issue ni kuokoa maisha ya watu na hifadhi kwa ujumla