Ongezeko la watu kunuka mdomo

Mtu anavuta bangi, Sigara, pombe, anakula Furu, Kambale, dagaa, Nyama za ajabu ajabu kwanini asinuke mdomo.
Natetea apo kwenye bangi, bangi inasaidia kukata harufu mbaya kinywani, kwa sababu inauwa vijidudu, ukishakuvuta ukipiga mswaki ipasavyo mdomo unakua uko salama, sigara ndio inasababisha arufu[emoji24]
 
Kuna kijana mmoja alikuwa anakaa karibu na kwetu.

Alikuwa ananuka mdomo.

Mimi nikawa namuona huyuni mchafu. Hapigi mswaki vizuri.

Baadaye, miakaya karibunihapa,akaja kutembea Marekani. Kwa kuwa ni jirani yangu wa muda mrefu, nikamwambia kwamba,akifika karibu na mji wangu, asipange hoteli, aje akae kwangu kwa muda wote atakaotaka, nitamtembeza, tuongee mengi ya miaka mingi ambayo hatukuwa pamoja.

Basi akapata visa, akaja,tukaka pamoja, tukaongea vizuri. Nikamuona ana viatu fulani hivi kamaspecial kwa wagonjwa wa Kisukari wenye matatizo ya miguu kuuma.

Akawa anazibukia sana collection yangu ya viatu, akasema una viatu vingi sana, nitafutie kimoja. Nikamwambia chagua mwenyewe unachotaka. Akachagua raba moja ina soli laini sana. Akasema brother mimi siku hizi siwezi kuvaa kiatu chochote,nina matatizo ya Kisukari na miguu yangu huwa inauma kwa sababu ya nerves.

Nikapiga mahesabu chapchap, nikataka kujua uhusianowa Kisukari na mdomo kunuka.

Kumbe kuna uhusiano, na inawezekana ile harufu ilikuwa ina uhusiano na ugonjwa.

Unaweza kulaumu mtu mchafu bure, kumbe mtu mgonjwa.

What Does Bad Breath Have to Do with Diabetes?

Bad breath and diabetes

Your breath has an interesting ability to provide clues to your overall health. A sweet, fruity odor can be a sign of ketoacidosis, an acute complication of diabetes. An odor of ammonia is associated with kidney disease. Similarly, a very foul, fruity odor may be a sign of anorexia nervosa. Other diseases, such as asthma, cystic fibrosis, lung cancer, and liver disease, also can cause distinct odors on the breath.

Bad breath, also called halitosis, can be so telling that doctors may even be able to use it to identify diabetes. Recently, researchers have found that infrared breath analyzers can be effective in identifying prediabetes or early-stage diabetes.
 
Kwa kweli ili tatizo ni kubwa sana watanzania wengi meno ni mabovu jino likiweka tundu likahifadhi chakula ni hatari linanuka kama choo nimewahi kugegeda mdada kwa kweli dudu ilisinyaa ni mrembo balaaa shape ya hatari la haulaaa nilipokuwa namsogelea alivyoongea dah ilibidi nirudi nyuma kama kishada apoapo nikamwambia naumwa jino siwezi kukukiss Na tangu siku iyo sikumtafuta tenaaaa
 

Mimi kuna mmoja nilinunua line ya cm nikawa namtumia sms kuhusu hilo tatizo. Nikawa namtumia hata tukiwa ofisini kwa kuwa tulikuwa wengi hakujua ni nani, na nikawa namuelekeza kusugua sana ulimi. Sasa hivi naona yuko shwari.
 
Ila tatizo lingine jaman dental clinic ni garama mno yani mtanzania wa kawaida kuafford zile garama sio rahisi nimewahi enda dental Hosp Moja hapa mjini nikalipa laki tatu alafu walichokifanya sikuelewa kabisa wamesafisha tu meno Na kimachine chao tuuuuu fuuuuu kama dk 5 tu nikapewa hydrogen peroxide tayari dah roho iliuma sana, kwa iyo Hawa wanuka midomo sio rahisi kumudu hizi garama jamani
 
Duh.! Kwa hiyo hata humu jukwaani wamejaa marehemu?
Maana kuna midomo huwa inatoa harufu humu
wapo mkuu, wamejaribu kujipaka mapafyumu na kusugua meno kwa dawa.....lakini waapi baada ya lisaa wanageuka mizoga midomoni kwao hahaha
 
Humlambi ulimi?
 
Mimi kuna mmoja nilinunua line ya cm nikawa namtumia sms kuhusu hilo tatizo. Nikawa namtumia hata tukiwa ofisini kwa kuwa tulikuwa wengi hakujua ni nani, na nikawa namuelekeza kusugua sana ulimi. Sasa hivi naona yuko shwari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Hiyo dawa ya mba ungeisema hapa ungesaidia wengi.
 
Tatizo watz hatuna kasumba ya kupiga mswaki kabla ya kulala....sana sana tunapiga mswaki asubuhi tu.

Kama unapiga mswaki mara moja kwa siku, then ni bora iwe usiku kabla ya kulala.
 
LAKINI UKUMBUKE HUU NI MFUNGO NA WATU HAWARUHUSIWI HATA KUSUKUTUA KWA MAJI HIVYO KUNUKA NI LAZIMA! KUTWA NZIMA MDOMO HAUNA KITU LAZIMA UNUKE
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulitaka kupiga chafya kwa kilugha
 
Waacheni walimu wamekandamizwa sn ktk maslahi Yao.Tena mnataka kuwanukisha midomo ya mitoto yenu??? please give them a break.
 
Asante Kwa mada nzuri .Ukipiga mswaki meno na hata ulimi ,kinywa kitanukaa tuu .UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUFLASS MENO ,YAANI KUNA UZI WANAUZA PHAMACY SHS 7000 NDIO UNAFAA KUSAFISHA JINO KWA JINO HAKIKISHA UNATOA MABAKI YOTE YA CHAKULA YANAYOBAKI KATI YA JINO NA JINO KWA MAELEZO ZAIDI NI PM NITAKUFUNDISHA NAMNA YA KUFLASS KWA WALE AMBAO HAWAJUI .
ASANTENI.
 
unajua ingekuwa kuna lugha au maneno mengine ya kutumia ungeweza kutumia mkuu lakini maneno yote kuhusu kichwa ni makali sana.
 
Mimi kuna mmoja nilinunua line ya cm nikawa namtumia sms kuhusu hilo tatizo. Nikawa namtumia hata tukiwa ofisini kwa kuwa tulikuwa wengi hakujua ni nani, na nikawa namuelekeza kusugua sana ulimi. Sasa hivi naona yuko shwari.
safi sana mkuu, hongera sana mimi siju nimuanze vipi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…