Enzi zetu wakati tunasoma usafi ulizingatiwa mashuleni na walimu wetu mwanzo mwisho tulikaguliwa kuanzia meno kola ya shati kucha nywele yote hii kuhakikisha tunakuwa simart ila siku hizi kuna ongezeko la vijana kutoa harufu mbaya kinywani unakuta mtu kavaa nadhifu kabisa ngoja akuongeleshe hiiiii! utafikiri mwaloni kirumba soko la dagaa halafu hata hawajishitukii sasa tuwaulize walimu na wazazi wa siku hizi hamkagui usafi kama enzi zetu?
Kuna kijana mmoja alikuwa anakaa karibu na kwetu.
Alikuwa ananuka mdomo.
Mimi nikawa namuona huyuni mchafu. Hapigi mswaki vizuri.
Baadaye, miakaya karibunihapa,akaja kutembea Marekani. Kwa kuwa ni jirani yangu wa muda mrefu, nikamwambia kwamba,akifika karibu na mji wangu, asipange hoteli, aje akae kwangu kwa muda wote atakaotaka, nitamtembeza, tuongee mengi ya miaka mingi ambayo hatukuwa pamoja.
Basi akapata visa, akaja,tukaka pamoja, tukaongea vizuri. Nikamuona ana viatu fulani hivi kamaspecial kwa wagonjwa wa Kisukari wenye matatizo ya miguu kuuma.
Akawa anazibukia sana collection yangu ya viatu, akasema una viatu vingi sana, nitafutie kimoja. Nikamwambia chagua mwenyewe unachotaka. Akachagua raba moja ina soli laini sana. Akasema brother mimi siku hizi siwezi kuvaa kiatu chochote,nina matatizo ya Kisukari na miguu yangu huwa inauma kwa sababu ya nerves.
Nikapiga mahesabu chapchap, nikataka kujua uhusianowa Kisukari na mdomo kunuka.
Kumbe kuna uhusiano, na inawezekana ile harufu ilikuwa ina uhusiano na ugonjwa.
Unaweza kulaumu mtu mchafu bure, kumbe mtu mgonjwa.
What Does Bad Breath Have to Do with Diabetes?
Bad breath and diabetes
Your breath has an interesting ability to provide clues to your overall health. A sweet, fruity odor can be a sign of ketoacidosis, an acute complication of diabetes. An odor of ammonia is associated with kidney disease. Similarly, a very foul, fruity odor may be a sign of anorexia nervosa. Other diseases, such as asthma, cystic fibrosis, lung cancer, and liver disease, also can cause distinct odors on the breath.
Bad breath, also called halitosis, can be so telling that doctors may even be able to use it to identify diabetes. Recently, researchers have found that
infrared breath analyzers can be effective in identifying prediabetes or early-stage diabetes.