ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Swalama?
Nimepita njia ya morogpro juzi,dah!mji umefika chalinze,mwezi uliopita nilikuwa Nangwanda huko! mmmh sikuona mwanzo na mwisho wa mkuranga na daresalama! Kwa habari ya Bagamoyo tusiongee kabisa!
Najiuliza hizi nyumba zote zimesimama mahali palipokuwa na minazi mikorosho na miembe. Sijatulia vizuri nikapita hukooo visiwani,lahaula la kwata!tangu mjini mpaka Nungwi ni nyumba tupu.
Watanzania tunazaana aisee!hata aje malaika hawezi kutupa hizo sijui huduma bora za jamii.
Msongamano mtaani unazalisha migogoro mingi ya kisiasa na kiutamaduni., kiuchumi na kimani.
Nadhani tupunguze kasi kidogo.
Ni hayo tu ndugu wapendwa.
Sent using Jamii Forums mobile app