Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
E bwana bei ya nafaka huko sh.ngapi? Sukari inapatikana?🙂Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Nafaka ni bei chee, sukari ni bidhaa adimu.E bwana bei ya nafaka huko sh.ngapi? Sukari inapatikana?🙂
Shukran sana sheheNafaka ni bei chee, sukari ni bidhaa adimu.
Acha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Rais Samia anawabeba wazanzibar wenzake kwa kuwamilikisha kiholela ardhi ya Tanganyika. Ipo siku moto utawaka. #Bringbackourland#Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Muungano ni lazima uimarishwe uwe imara zaidi na zaidi, kidumu chama cha mapinduzi.Biashara aliyoifanya Mwalimu Nyerere ambayo itatutesa hadi tufe.
Taratibu watanganyika wanamilikushwa kama wageni yeyote yule sio wananchi wa zanzibar au tanzania kama hujui. Hii ni tofauti wao huku wanamilikushwa kama wananchi wa tanzania.Acha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.
Ugoro huu!Rais Samia anawabeba wazanzibar wenzake kwa kuwamilikisha kiholela ardhi ya Tanganyika. Ipo siku moto utawaka. #Bringbackourland#
Siyo kweli!Zanzibar mtu wa bara ata kuendesha gari lazima uwe na kibali maalum zaidi ya leseni.
Wanaruhusu vipi raia wa nchi wa kigeni kumiliki Ardhi Tanzania? Wafurumushwe hataka hao wahamiaji haramu!Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Huu muungano huko twendako tutakuja kuchinjanaKuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamikiki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Zanzibar wamesema mimi sio mkaazi wa kudumu hivyo sina haki, sasa hawa raia wao mbona wakija huku wanamiliki ardhi wakati sheria za Tanganyika haziruhusu wageni kumiliki ardhi?Acha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.
Tz hairuhusi uraia pacha, hiyo ni kwa mujibu wa katiba, hivyo hawawezi kuwa raia wa nchi mbili tofauti..Lakini si watanzania? Walitaka nchi yao mkaona wanavurugu, goja waje hukuhuku
Utaratibu upi? Mtanganyika haruhusiwi kumiliki chochote Zanzibar, hata mbwaAcha chokochoko, hujakatazwa kumiliki ardhi au nyumba zanzibar fuata taratibu halali.
Pesa mbele Mzee wanamwaga Pesa hao wote uliowataja ni kweli wapo Ila wanamwaga Pesa Serikalini na Serekali inataka Pesa yaan kukitokea mwekezaji kalipenda eneo fulani na hilo eneo lina wananchi Serekali inaangalia Pesa ya huyo mwekezaji sio Mwananchi wa kawaida ambae hana Pesa kwa hio Serekali ipo tayari kuwafurusha wananchi wasio na Pesa imuweke mwekezaji mwenye Pesa ipate Pesanchi hii itakuumiza kichwa .
wapo wanyarwanda wanamiliki maeneo sehemu mbalimbali,wakenya mpaka dar hapo,waarabu bandari ndio usiseme ilala wanamagorofa.
wazungu wenye maheka na maheka.
................................................................................................ pesa na rushwa ndio chanzo