Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
- Thread starter
- #21
Uko sahihi sana mkuu.Tz hairuhusi uraia pacha, hiyo ni kwa mujibu wa katiba, hivyo hawawezi kuwa raia wa nchi mbili tofauti..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi sana mkuu.Tz hairuhusi uraia pacha, hiyo ni kwa mujibu wa katiba, hivyo hawawezi kuwa raia wa nchi mbili tofauti..
Sasa kama watz wenzetu kwann kumiliki ardhi kule haiwezekani ila huku wao inawezekana? Kutokana na mtoa mada anavyosemaHao ni Watanzania wenzetu kule Bukoba na hata baadhi ya Maeneo ya Morogoro na Iringa ardhi wanauziwa WARWANDA na WAKENYA hii ndio hatari
Mbona wanamiliki ulishawahi kufika kule mzee.. Jamaa zangu wa Kiluguru ndio wana mashamba na wanalima sana maeneo ya Kizimbani, Ndunduke, KibojeSasa kama watz wenzetu kwann kumiliki ardhi kule haiwezekani ila huku wao inawezekana? Kutokana na mtoa mada anavyosema
Wakifika wananunua tu hakuna process zingine? Kwahyo hapa mtoa mada katudanganya?Mbona wanamiliki ulishawahi kufika kule mzee.. Jamaa zangu wa Kiluguru ndio wana mashamba na wanalima sana maeneo ya Kizimbani, Ndunduke, Kiboje
Njoo na Dodoma uoneKuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Mkuu acha kubisha, Zanzibar hawaruhusu Mtanganyika kuendesha gari bila kibali maalumu. Soma hapa kwa tasrifa zaidiSiyo kweli!
Leta aliyenyanyasika kwa hilo hapa.
Muungano uvunjwe.Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
KabisaMuungano uvunjwe.
Aisee! Hata mbwa?😀Utaratibu upi? Mtanganyika haruhusiwi kumiliki chochote Zanzibar, hata mbwa
Si tuliambiwa Tanzania ni moja? Au kuna kilichobadilika?Kuna siku nilikutana na mkwamo ambao niliripoti hapa baada ya kutaka kununua kiwanja Unguja nikazuiliwa kisa mimi si Mkaazi wa nchi ya Zanzibar.
Leo nilikuwa Matombo ama kwa hakika uhamiaji ni kama wamelala maana raia wa nchi ya Zanzibar wamejaa na wanamiliki ardhi.
Tangu lini raia wa kigeni akamilikishwa ardhi? Kwanini tusiige mfano wa nchi ya Zanzibar kuilinda ardhi yetu kwa sheria kali ili wageni wasimilikishwe?
Wenzetu wana bendera yao na wimbo wao wa taifa, umoja unatokea wapi?Si tuliambiwa Tanzania ni moja? Au kuna kilichobadilika?
Kiufupi ccm wanaenda ku I maliza mama Tanzanianchi hii itakuumiza kichwa .
wapo wanyarwanda wanamiliki maeneo sehemu mbalimbali, wakenya mpaka dar hapo,waarabu bandari ndio usiseme ilala wanamagorofa.
wazungu wenye maheka na maheka.
................................................................................................ pesa na rushwa ndio chanzo
Karibu Matombo ifakara ujipatie nawe eneo safi la kulimaKiufupi ccm wanaenda ku I maliza mama Tanzania