Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Hii project sidhani kama itisha me wakat...
mwaka umeisha tayari sioni kilichofanyika apo
flyover maandalizi ndio huchukua muda mrefu, lakini kazi yenyewe ya kuinua Barbara hiyo hata wiki haiishi.
 
Hii sio ubungo tena mkuu.. Ila inapendeza sana. Nadhani ili kupunguza msongamano basi hawa wamiliki wa mabasi inabidi na wenyewe wajitahidi kuwa na yard zao zenye nafasi ya kutosha. Bus liingie stand linapoenda kupakia tu na si kuyalaza yote stand. Ni wazo tu
 
inajengwa wapi na ni kwa ajili ya mabasi gani ? mkoani au daladala?
Mabasi ya mikoani nafikiri eneo limetengwa Mbezi stand mpya upande wa juu kuna uwanja mkubwa sana.
 
Kwakweli mlioko dar mkisema eti kunaukakanda iansikitisha sana.. Hivi hakuna mikoa mingine inayositahili kuendelezwe ilinayo ilete ushindani ndani ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…