Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Project nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo
taratibu ndiyo tunasonga huko ile ya chalinze itakuwa na 6lane hapa katikati ya jiji vitu hivyo havitofanuika ndiyo maana tumeweka brt huku pembezoni mwa mji ndiyo tutaenda napo vizuri sababu ni kupana na kuna nafasi
 
Project nzuri sana na itakuza jiji haraka! Tatizo je kwa wakati huu wapo wa kuzijaza!!? Kama wageni wanaondoka na wafanya biashara wanafunga biashara haya si yanakuwa magofo!!?
akitoka huyu anaingia mwingine mwanzo tulilala ila kwa sasa wawekezaji wanamiminika jiji linaelekea katika kiwango kizuri ksbisa tusiwe na shaka
 
Project nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo
Tatizo ni halmashsuri zilizopo zote ni mzigo! Ilipaswa zivunjwe zote kiundwe chombo kama tume au mamlaka. Ukiangali city cetre jinsi ilivyo inatia aibu, mvua ikipiga shida, njia za waenda kwa miguu shida, parking shida, bustani halikadhalika, barabara zote ni mbovu.
 
Nilikuwa Kampala mwezi uliopita
Jamaa mmoja akaniambia unaona Jiji letu linavyo badilika?
Nikamuambia naona
Kwakuwa nilijua tutakuja nae Dar atajijibu mwenyewe!

Jamaa nilimtembeza kwa masaa 8 yuko hoi

Nikamueleza Dar yasasa siyo ya mchezo .
Annael endeleza Uzalendo
Maana watu walitudharau sana
Sasa niwakati wa kuheshimiana
kweli kabisa
 
Kuna k2 kimoja ukijue, Tanzania hatutegemei wageni hata!! Zimbabwe, Kenya na SA zmejengwa na Wageni ila nikisema Tanzania nazan unajua imejengwa na nani? [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

~Cmb
safi sana
 
Kwahiyo Dodoma mnakohamia hakuna hata project moja? Acheni utani jamani..
dodoma zipo ila kama unaweza anzisha thread .......utapata msaada hapa si mahsla pake......twende kwa misingi hatua kwa hatua
 
Back
Top Bottom