Salamu ndugu zangu.
Leo nimeona nianze kutupia Projects zinazoendelea ndani ya jiji la dar es salaam. Nitakuwa natupia tupia picha. Ninaanza na
Kinyerezi Power Plant phase II 240MW. Mradi unatakiwa novemba 2017 kuanza kuzalisha umeme
View attachment 454618 View attachment 454619 View attachment 454620
WHC( watumishi hausing company) imeundwa na mashirika yote ya mifuko ya jamii plus NHIF presumebly iko chini ya wizara ya fedha na mipango!Watumishi Housing.
Acha kuniwaza wewewewe ndio hutakiwi uongee.unataka ujenzi uishe ndani ya mwaka mmoja!!!
majengo mango sio ya serikali ni privateKwakweli mlioko dar mkisema eti kunaukakanda iansikitisha sana.. Hivi hakuna mikoa mingine inayositahili kuendelezwe ilinayo ilete ushindani ndani ya nchi
Ipo kinyerezi maeneo gani mkuu?Kinyerezi
hii kitu kinajengwa wapi?
Aiseee [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] hatareeNew Ubungo Bas Stand
View attachment 455636
Hii kitu ipo pale karibu na Zanzibar ferry. (alongside Sokoine dr)hii kitu kinajengwa wapi?
Ofisi za serikali. Na sio ofsi zote. Dar ni mji wa kibiashara sawa ndugu?
Hii kitu ipo pale karibu na Zanzibar ferry. (alongside Sokoine dr)
Lema ana mzunguHivi huyu si ndo yule mzungu wa Lema Arusha
Huyu unamuuliza hivi mbona kwenye thread za maendeleo ya Kenya huwa unawapostia picha za kibera? Najua huwezi kuacha ila Punguza unafki!Hivi tatizo lako ni nini? Mbona vijana nyie mnamatatizo sana? Wewe umeona thread inaongelea nini? Tumia akili hata kidogo basi.