mungai onesmo
Member
- Sep 4, 2016
- 10
- 2
Nenda kalale utamkia kesho upate majibuhivi nnaombeni kuuliza nimatatizo gani tunayoyapata sisi watanzania kwenye suala la Information and communication Technology(ICT)?
pia unaeza email me on, onesmoojohn@gmail.com
safi sana kakaSalamu ndugu zangu.
Leo nimeona nianze kutupia Projects zinazoendelea ndani ya jiji la dar es salaam. Nitakuwa natupia tupia picha. Ninaanza na
Kinyerezi Power Plant phase II 240MW. Mradi unatakiwa novemba 2017 kuanza kuzalisha umeme
View attachment 454618 View attachment 454619 View attachment 454620
ndiyo wengi hawajui hizi project na wakijua ni chacheDar. inakuwa kwa kasi sana
We nawe wa shabikia upuzisafi sana kaka
We mkorofiWe nawe wa shabikia upuzi
taratibu ndiyo tunasonga huko ile ya chalinze itakuwa na 6lane hapa katikati ya jiji vitu hivyo havitofanuika ndiyo maana tumeweka brt huku pembezoni mwa mji ndiyo tutaenda napo vizuri sababu ni kupana na kuna nafasiProject nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo
wapo speed balaaMkuu Annael NHC wanafanya kazi murua sana kwa sasa..
akitoka huyu anaingia mwingine mwanzo tulilala ila kwa sasa wawekezaji wanamiminika jiji linaelekea katika kiwango kizuri ksbisa tusiwe na shakaProject nzuri sana na itakuza jiji haraka! Tatizo je kwa wakati huu wapo wa kuzijaza!!? Kama wageni wanaondoka na wafanya biashara wanafunga biashara haya si yanakuwa magofo!!?
Umesahau kuweka Hq. Ya CRDB inajengwa upanga opposite na Iran cultural centreAlong Sam Nujoma Road before Mawasiliano Tower
Tatizo ni halmashsuri zilizopo zote ni mzigo! Ilipaswa zivunjwe zote kiundwe chombo kama tume au mamlaka. Ukiangali city cetre jinsi ilivyo inatia aibu, mvua ikipiga shida, njia za waenda kwa miguu shida, parking shida, bustani halikadhalika, barabara zote ni mbovu.Project nyingi ni majengo marefu...ujenzi wa barabara na madaraja bado ni hafifu mji umezidiwa na idadi ya watu miundo mbinu ni ya enzi za Mwl...hivi tunashindwa buni njia mbadala kwa kuongeza upana wa barabara zilizopo maana hata kama zitajengwa mpya bado zinajengwa kwa mtindo wa kizamani lane 2 ama 4.Hatufikirii zaidi ya hapo
kweli kabisaNilikuwa Kampala mwezi uliopita
Jamaa mmoja akaniambia unaona Jiji letu linavyo badilika?
Nikamuambia naona
Kwakuwa nilijua tutakuja nae Dar atajijibu mwenyewe!
Jamaa nilimtembeza kwa masaa 8 yuko hoi
Nikamueleza Dar yasasa siyo ya mchezo .
Annael endeleza Uzalendo
Maana watu walitudharau sana
Sasa niwakati wa kuheshimiana
hii amezungumzia project tu na si masuala mengine......kuhusu masuala mingine inabidi iundwe thread ndiyo tujadili kitu kama hicho .......ndugutunachokitaka ni maendeleo ya watu wa kawaida wala siyo ma gorofa
safi sanaKuna k2 kimoja ukijue, Tanzania hatutegemei wageni hata!! Zimbabwe, Kenya na SA zmejengwa na Wageni ila nikisema Tanzania nazan unajua imejengwa na nani? [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
~Cmb
dodoma zipo ila kama unaweza anzisha thread .......utapata msaada hapa si mahsla pake......twende kwa misingi hatua kwa hatuaKwahiyo Dodoma mnakohamia hakuna hata project moja? Acheni utani jamani..
huwaga sipatagi shida na mtu kama wewe muokota makopo ya kibera[emoji23] [emoji23] [emoji31] [emoji23] [emoji23]We nawe wa shabikia upuzi
hafu nimepata taarifa zako kumbe wewe umetoroka milembe aiseeer[emoji23] [emoji23] [emoji23]We nawe wa shabikia upuzi
mkorofi kweli kweli ila najua pakumpata huyu......We mkorofi
Hii ID mpya?mkorofi kweli kweli ila najua pakumpata huyu......