Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

Ongoing projects in Dar es Salaam Tanzania East Africa 2017

hii kitu imesimama kabisa kwa sasa
Hiipi ya nov 2016. Sijui unasemaje, hapa NSSF walipoenda kukagua
Kijichi1.jpg
 
Hayo majengo wakianza kupangisha wawe na bei reasonable sio warudi kule kule kwa kututoza kwa bei ya Dollar tena unakuta wanakutoza zaidi ya 250$ per month
 
Itafika siku watakuja ndugu zetu kulinganisha Dar na....... ###
 
aaaaaa kudadaadadadadadeki. maproject yote haya.wanaohamia dodoma waende salama tu
 
Kwahiyo Dodoma mnakohamia hakuna hata project moja? Acheni utani jamani..
Hapa tunaongelea Dar ndugu. Isue ya dodoma tutaanzisha topic yake. Acha kulalama lalama ndugu.
 
aaaaaa kudadaadadadadadeki. maproject yote haya.wanaohamia dodoma waende salama tu
Dodoma kuna project nyingi tu zinaendelea pia. Dar ni jiji la kibiashara. Halafu SGR ipo inaanza mwaka huu. So unaweza fanya kazi dodoma na unaishi Dar
 
Safi sana

Ungekuwa unaweka na majina ya maeneo kama unayajua ingekuwa poa zaidi.
 
Back
Top Bottom