Ili iweje!?Mwenye video ya Ashim Lungwe anayouliza nchi imepinda kwenda wapi aiweke hapaaa
Thanks kwa info, Inawezekana wameresume constructionHiipi ya nov 2016. Sijui unasemaje, hapa NSSF walipoenda kukagua
View attachment 454989
Well hiyo picha sio ya Dege Eco village... Hiyo ni NSSF Dunga farm! two different projectsHiipi ya nov 2016. Sijui unasemaje, hapa NSSF walipoenda kukagua
View attachment 454989
Inajengwa wapi hii mkuu?
Kwahiyo Dodoma mnakohamia hakuna hata project moja? Acheni utani jamani..
Dodoma kuna project nyingi tu zinaendelea pia. Dar ni jiji la kibiashara. Halafu SGR ipo inaanza mwaka huu. So unaweza fanya kazi dodoma na unaishi Daraaaaaa kudadaadadadadadeki. maproject yote haya.wanaohamia dodoma waende salama tu