Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Kuua albino ni ujinga wetu Afrika yote, si Tanzania tu. Labda Tanzania wanalikemea ndo mana limesikika, na lililo kuu hapa ni kwamba waliwalea wakakua, ukubwani kwa mila potofu wakageuzwa dili.
Ila hii ni kwa bana ba Africa wote, nikuulize swali mkuu... Hivi ulishawahi kumuona albino mmasai? Tz mi sijawahi kumuona, labda Kenya. Sijui umeelewa hapo, au ulidhani huwa wanazaliwa kwa jamii fulani tu?
Ni tabia ya kinyama, haivumiliki hata kidogo. Ila kuipinga kuwa haipo ni unafiki mkubwa na ni dhambi pia. Iko kote Afrika. Refer ktk songs of Lawino, Nigeria hiyo.
Songs of Lawino is no from Nigeria or by a Nigerian.
Hivi waTz mna midomo mirefu na uongouongo tupu!
Hata Afrika Mashariki hamuijui vyema......Songs of Lawino was written by Okot P'bitek a UGANDAN!
Maybe from ACHOLI tribe which is part of the larger East African LUO.
Pata darsa mwana!