Ongoing projects in Nairobi, Kenya E.A ( Counterpunch)

Ongoing projects in Nairobi, Kenya E.A ( Counterpunch)

kalenjins wametuharibia jina sana...the whole world thinks kenyans are black like makaa....well that is just one tribe and they know them because they are world famous runners....but wasee sio weusi excess huku joo...the other day nairaland tulitusiwa black mambas na nigerians sai naona watz pia wameanza....can be wrong

Hahaha ubaguzi huoooo!!!!
Kwanini unarudia rudia picha?
Umesema Nairobi
Kwanini unamix nchi nzima!!?
 
Hawa jamaa vituko
Yaani projects za nchi nzima
Kwanini kaandika Nairobi!!!
Watu wanalazimisha gari kwenda halina mafuta
Nionyeshe ni projects gani hizo amnazo Si za nairobi... The only thing nimeona ambacho Si cha Nairobi ni picha moja ya barabara ya isiolo.. Unaanza kutafuta vijisababu vidogo vidogo to lower your blood pressure kwasababu moyo wako hauwezi handle total annihilation
 
Afu hawa kenyans hawako mentaly fit.... wanahangaika na ongoing project.... izo ni sketch tu toeni vitu ambavyo viko on ur sight.....

Unaleta picha za 20 years plan... what the https://jamii.app/JFUserGuide.

Nikileta ongoing za huku mutakataa..... tuma towers za city center hapo sio sketch
 
a8150cc835349e67fdca7e5813c14fdf.jpg
angalia iyo layout ongoing project ndo uone sasa
 
Nionyeshe ni projects gani hizo amnazo Si za nairobi... The only thing nimeona ambacho Si cha Nairobi ni picha moja ya barabara ya isiolo.. Unaanza kutafuta vijisababu vidogo vidogo to lower your blood pressure kwasababu moyo wako hauwezi handle total annihilation
Wacha kukurupuka
Kumuelimisha chizi utapata kazi!!!!
87a9b30075799de2b78c3db57e7fdbf3.jpg
2c85d6f0d4f2ebc2f6cca3226dfdd818.jpg

Nairobi kuna meli!?
4dc698f044f294ef78091789a6dfebb9.jpg

23ff87527484bcbfd527894efc555023.jpg
ee8f3ab05ec022d7559aea58e18c4d80.jpg


Sifa usifiwe
Wacheni ujinga
 
Uzi zinajaa matope hata inaudhi kwamba pia uchangie kwa mambo kama haya! Siju kwanini Skyscrapercity kuna nidhamu thread ya Kenya na hii imekosa! Nairaland ina upuzi lakini huu wa jamii umezidi!
Kwanini hujataja hata moja yakenya!!?
Hahaha Kenya hakuna Forums!!?
 
Munanuna nini....... ukianza u have to learn how to finish....


Kaza matako mtoto wa kiume... complaints za nini... kwani jamiiforum nI ya kwako... leta maneno na nchi yenu ya kigaidi isiyokuwa na security
 
Munanuna nini....... ukianza u have to learn how to finish....


Kaza matako mtoto wa kiume... complaints za nini... kwani jamiiforum nI ya kwako... leta maneno na nchi yenu ya kigaidi isiyokuwa na security
Jamaa anaiponda Jf
Cha ajabu anasifia Naijeria na si forums za kenya!!!

Umeijua jf kutokana na watanzania
Kama tunachangia upuuzi upuuzi
Basi huo upuuzi ndio unao ipaisha jf
 
Wakenya aisee hapana.... eti ongoing projects za TAIFA ni kujenga flats houses... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii NCHI hii hapana aisee.....
 
Angali project izo tena sio ongoing....... nyie munatuletea rubish za flats... how old are you...

Hakuna ulimwengu wa majengo marefu miaka hii.... https://jamii.app/JFUserGuide.
 
Angalieni vile mapovu yanawatoka, uuuwi, yani asiyekubali kushindwa, hahaha...
Rudi kwa Ile thread nyenyine ya Dar, hakuna hata Mkenya Mmoja ametukana wala kubeza chochote cha Dar, yani tuliwaachia muendweleze thread vizuti bila shida....
Lakini the moment tukianzisha yetu Na mnaona mnashindwa, Mara hio, sijui nyinyi weusi, Mara hizo Ni flats, Mara sijui nyinyi Ni urgly, kibera this, kibera that, sijui Ni design ya kitambo... Mara wakenya Ni wajinga......... Feebles of a dying hoarse,



I see you have learnt from the best people with inferiority complex. If you cant defeat your opponent on the topic at hand in context, start attacking the opponent....
 
Back
Top Bottom