kalenjins wametuharibia jina sana...the whole world thinks kenyans are black like makaa....well that is just one tribe and they know them because they are world famous runners....but wasee sio weusi excess huku joo...the other day nairaland tulitusiwa black mambas na nigerians sai naona watz pia wameanza....can be wrong
Nionyeshe ni projects gani hizo amnazo Si za nairobi... The only thing nimeona ambacho Si cha Nairobi ni picha moja ya barabara ya isiolo.. Unaanza kutafuta vijisababu vidogo vidogo to lower your blood pressure kwasababu moyo wako hauwezi handle total annihilationHawa jamaa vituko
Yaani projects za nchi nzima
Kwanini kaandika Nairobi!!!
Watu wanalazimisha gari kwenda halina mafuta
Wacha kukurupukaNionyeshe ni projects gani hizo amnazo Si za nairobi... The only thing nimeona ambacho Si cha Nairobi ni picha moja ya barabara ya isiolo.. Unaanza kutafuta vijisababu vidogo vidogo to lower your blood pressure kwasababu moyo wako hauwezi handle total annihilation
Kwanini hujataja hata moja yakenya!!?Uzi zinajaa matope hata inaudhi kwamba pia uchangie kwa mambo kama haya! Siju kwanini Skyscrapercity kuna nidhamu thread ya Kenya na hii imekosa! Nairaland ina upuzi lakini huu wa jamii umezidi!
Unapenda yamoto!!!Mimi sio saizi yako nitakupwelepweta bure! Kenya oyee!
Hahahaha anapenda fimbo ya yamoto.Unapenda yamoto!!!
Tanzania Hoyeeee
Jamaa anaiponda JfMunanuna nini....... ukianza u have to learn how to finish....
Kaza matako mtoto wa kiume... complaints za nini... kwani jamiiforum nI ya kwako... leta maneno na nchi yenu ya kigaidi isiyokuwa na security
Angali project izo tena sio ongoing....... nyie munatuletea rubish za flats... how old are you...
Hakuna ulimwengu wa majengo marefu miaka hii.... ****.