princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,195
- 2,056
Habarini za wakati huu wadau wa jukwaa hili,natumaini mko salama na wale ambao hamko vyema poleni sana..Naam acha niende moja kwa moja kwenye content,,Kwa waskilizaji wa Clouds FM the people's Station mtakua mnamfahamu Oni Sigara ambae ni Mhariri Mwandamizi wa Baraza la Kiswahili Taifa(BAKITA)ambae pia ni Mtangazaji wa siku nyingi wa kipindi cha Kiswahili Lugha ya Taifa,,Amekua akiskika Clouds FM akitafsiri baadhi ya Maneno ya Kiswahili akiwa na Producer wa kipindi cha Power breakfast na Mtangazaji pia wa Power breakfast on Saturday cha hapo Clouds FM Bwana Phillip Mwihava Baba Habiba aka Mtozi Mwanagenzi,,Huyu mzee wangu wa Kuwasha Fegi(Oni Sigara)anafanya kazi nzuri sana kwakweli Big shout Out to him,Lakini maswali nnayojiuliza CMG humlipa au hujitolea tu coz Hasikiki Redio au TV nyingine yeyote ispokua Clouds FM tu..!!
(Pichani kulia akiwa na Mwana'Hiphop ambae pia ni Mwaharakati Nash MC kushoto)
@ChaliiYaKijengeJuu.
(Pichani kulia akiwa na Mwana'Hiphop ambae pia ni Mwaharakati Nash MC kushoto)
@ChaliiYaKijengeJuu.