Onions Suppliers from Tanzania

Onions Suppliers from Tanzania

Wenzio wakenya wananuanua Vitunguu mkoa wa aRusha wilaya ya Karatu eneo linaitwa Mang'ola. Ni mwendo wa masaa 5 ukitokea namanga boarder

Au mnasemaje mods wa JF
Asante,,halafu nikuulize ni documents gani zenye nafaa kuwa nazo kabla sija anza kuimport onions.
 
Wenzio wakenya wananuanua Vitunguu mkoa wa aRusha wilaya ya Karatu eneo linaitwa Mang'ola. Ni mwendo wa masaa 5 ukitokea namanga boarder

Au mnasemaje mods wa JF
ni kweli mkuuu hapo pamekucha sana
 
Tanzania wakulima wavitunguu niwengi alafu mpakani baadhi ya bidhaa za chakula kama vitunguu haviruhusiwi kuingizwa na experience 4 yrs nafanya kazi mpakani

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenzako anauliza kuchukua Vitunguu Tanzania wewe unamjibu kuwa hairuhusiwi kuingiza bidhaa za chakula Tanzania...

Mleta mada Jitahidi upate supplier wa kutokea mkoa wa arusha vitunguu ni vingi huko.

NB: Ogopa matapeli wamejazana humu. Ukiweza tafuta marafiki waaminifu uje Tanzania kufanya "Field Market Survey" ili upate "Empirical Details" kuhusu unachotaka kufanya.

All in all vitunguu vipo vya kutosha japo baada ya hii corona Bei imepanda kidogo japo naamini hata Kama ukinunua kwa Bei kubwa hata huko Kenya Bei itakuwa kubwa tu maana corona ni issue ya nchi zote hivyo Bei imeathiriwa katika nchi zote ikiwemo Kenya.


NARUDIA TENA KUWA MAKINI NA MATAPELI WAMEJAZANA HUMU.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bad unahitaji vitunguu, km yupo anayehitaji ani pm mzigo upo wakutosha upo kilosa Morogoro
 
Naww tutafutie Wateja wa dagaa chafu chakula ya kuku pamoja na mashudu
 
Asante,,halafu nikuulize ni documents gani zenye nafaa kuwa nazo kabla sija anza kuimport onions.
Usijekuwa kama yule wa mahindi wa kule Songea.Yani umeshindwa kupata connection huko kwenu mpaka uje huku JF.kama sio tapeli itapendeza.
 
Kama Arusha vitunguu vimeshuka bei kinoma! Gunia linauzwa Tsh 70,000 mpka 60,000 tena hapo limeshafika sokoni
 
Back
Top Bottom