Onja ya kwangu onja ya kwangu.

Onja ya kwangu onja ya kwangu.

pakaywatek

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
4,660
Reaction score
6,282
nimepita maeneo ya sokoni leo nikakumbuka kubeba vimatunda nyumbani nikafika eneo yamepangwa maparachichi nikakuta wamama wanayauza, kabla sijaanza kuchagua kila mmama,mbinti,mbibi onja ya kwangu onja ya kwangu narudi kuwamalizia stori taa imewaka....
 
Paka wewe
Tabia yako ya kuwa hupost vitu vinavohusiana na jukwaa hili uache
 
Wacha we...
Kwahiyo ulionja ya mmama ,mbinti au mbibi
 
Hivi tarehe za kwenda jkt ni lini vile?
 
Back
Top Bottom