pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,660
- 6,282
nimepita maeneo ya sokoni leo nikakumbuka kubeba vimatunda nyumbani nikafika eneo yamepangwa maparachichi nikakuta wamama wanayauza, kabla sijaanza kuchagua kila mmama,mbinti,mbibi onja ya kwangu onja ya kwangu narudi kuwamalizia stori taa imewaka....