nijifunzage hapa hapa na ukitaka kujua matapeli WA mtandaoni wafanyaje
Kwenye site zote EBAY / ALIEXPRESS/ ALIBABA/ AMAZON / KUPATANA/ ZOOM matapeli pia huwepo.yaan kuijua kampuni ya kitapeli ndani ya hizi ALlbaba,Amazon na nyinginezo
Vipi kuhusu Kikuu, ambayo naskia ipo kenya, Kuna Jumia pia, uaminifu unakuwajeKwenye site zote EBAY / ALIEXPRESS/ ALIBABA/ AMAZON / KUPATANA/ ZOOM matapeli pia huwepo.
Ila swali lako la msingi ni je utawatmbua vipi?
- Matapeli huwa hawakubali zitumike njia rasmi (a) za mawasiliano na (b)njia rasmi za malipo ambazo zipo zipo na zinapendekezwa na site husika, mfano: Njia ya malipo atakwambia western union au moneygram,
- Bei ya bidhaa: Huwekwa ya chini sana kuliko uhalisia, mfano kwa EBAY waweza kuta item ambayo inatakiwa iuzwe US $700 wao wanakuwekea kwa US $70 na wanaongeza neno FREE SHIPPING.
- Angalia maoni , ratings za seller husika.
Ahsante sana mkuu, umeeleza vizuri......hapo kwenye free shipping ndipo watu wanapopigiwa.Kwenye site zote EBAY / ALIEXPRESS/ ALIBABA/ AMAZON / KUPATANA/ ZOOM matapeli pia huwepo.