Online Bussiness App ipi ni ya uhakika?

Online Bussiness App ipi ni ya uhakika?

Saint Leo

Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
46
Reaction score
57
Habari zenu ndugu,

Ningependa kujuzwa kuhusu Online Bussiness App ambayo inatoa vitu vya uhakika kama ulichokutana nacho online.

Mfano kama mtu ashawahi pata bidhaa kutoka KIKUU, vipi kuhusu uaminifu na ubora wa bidhaa inayokufikia, inakuwa kama ile uliyo iplan na kuiona online au kinakuja kitu hukutaraji?

Asanteni.
 
Nami nasubiri nijifunzage hapa hapa na ukitaka kujua matapeli WA mtandaoni wafanyaje ,nimeongeza kanyama kama vimishikaki vya jioni barabarani, yaan kuijua kampuni ya kitapeli ndani ya hizi ALlbaba, Amazon na nyinginezo
 
nijifunzage hapa hapa na ukitaka kujua matapeli WA mtandaoni wafanyaje
yaan kuijua kampuni ya kitapeli ndani ya hizi ALlbaba,Amazon na nyinginezo
Kwenye site zote EBAY / ALIEXPRESS/ ALIBABA/ AMAZON / KUPATANA/ ZOOM matapeli pia huwepo.

Ila swali lako la msingi ni je utawatmbua vipi?
- Matapeli huwa hawakubali zitumike njia rasmi (a) za mawasiliano na (b)njia rasmi za malipo ambazo zipo zipo na zinapendekezwa na site husika, mfano: Njia ya malipo atakwambia western union au moneygram,

- Bei ya bidhaa: Huwekwa ya chini sana kuliko uhalisia, mfano kwa EBAY waweza kuta item ambayo inatakiwa iuzwe US $700 wao wanakuwekea kwa US $70 na wanaongeza neno FREE SHIPPING.

- Angalia maoni , ratings za seller husika.
 
Vipi kuhusu Kikuu, ambayo naskia ipo kenya, Kuna Jumia pia, uaminifu unakuwaje
 
Kwenye site zote EBAY / ALIEXPRESS/ ALIBABA/ AMAZON / KUPATANA/ ZOOM matapeli pia huwepo.

Ila swali lako la msingi ni je utawatmbua vipi?
- Matapeli huwa hawakubali zitumike njia rasmi (a) za mawasiliano na (b)njia rasmi za malipo ambazo zipo zipo na zinapendekezwa na site husika, mfano: Njia ya malipo atakwambia western union au moneygram,

- Bei ya bidhaa: Huwekwa ya chini sana kuliko uhalisia, mfano kwa EBAY waweza kuta item ambayo inatakiwa iuzwe US $700 wao wanakuwekea kwa US $70 na wanaongeza neno FREE SHIPPING.

- Angalia maoni , ratings za seller husika.
Ahsante sana mkuu, umeeleza vizuri......hapo kwenye free shipping ndipo watu wanapopigiwa.
 
Back
Top Bottom