Ila mawakala wa TIGO PESA..... mkiwa mnatangaza kuwa mnatoa tigo ...... asee mna mbwembwe .....haya kijana unapatikana wapi nahitaji huo mtandao wako ni deal nao kidogo kuna line nataka nichomeke ....Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.
Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.
Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.
Know yourself.
Nyuzi zimetoweka😆Ukimaliza period unakuwa na vurugu sana beautiful boy 😹
Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.
Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.
Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.
Know yourself.
Mmezidi gubu kwa mwanangu manyau nyau 😹😹Nyuzi zimetoweka😆
Mrembo wa jf!Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.
Kuna watu hata wavae vipi, wakipiga picha unaona kabisa huyu ni mlugaluga.
Ukimfata mrembo online cha kwanza anakuomba umtumie picha akuone, anataka ajue, je unaonekaje? Unasura personal au unavutia? akiona unasura personal, anahamia kwenye life style, km ndio huna maajabu hadi huko, bas ushapoteza pambano.
Kama we unasura personal, bas ni vyema ukadeal na walio mtaani, huku mtandaoni tuachie sisi. Mimi mambo ya kutongoza nishaacha mana wananitongoza mimi.
Know yourself.
Angeacha tu ajibu hoja , sasa akirudi si ndio ataonekana manyau nyau Pro maxMmezidi gubu kwa mwanangu manyau nyau 😹😹
Umeanza vizuri ila mwishoni umeandika pumba tupu.Kama wewe sio photogenic, basi utulie na udili na wamtaani tu.