Online forex trading



Kwani wewe umekatazwa na nani kuwa broker?

Na yeye si ana broker, sasa unaumia nini wakionfezeka hata kama wameamua watu kumsikiliza na kumfata yeye?

Yaani kwa kweli unayako mojawapo ikiwa wivu, mwinine kuna kitu unakosa kwa analofanya hautaki watu wajue.

Ingekuwa pesa yako inaliwa au umeombwa eeeh sasa ona... kama anadanya ni tapeli unavyotaka watu wamkumbie ungeenda kumshitaki polisi.

Eeeh nyamaza tu, acha watu wajaribu kila mtu na bahati yake
 
kwaiyo.kinachotakiwa ni nini hasa
 
Huyo jamaa nimemuona kilaza wa karne.
Mwaka mzima unapanga upige faida ya 1M? Si bora ukafanye kazi kwa muhindi?
 
Huyo jamaa nimemuona kilaza wa karne.
Mwaka mzima unapanga upige faida ya 1M? Si bora ukafanye kazi kwa muhindi?
Ni Mara 10 hiyo hela ya mtaji akanunue hisa za Vodacom halafu aziuze baada ya huo mwaka mmoja, maanaeke huko ukishanunua haufanyi kazi yoyote zaidi ya kusubiri huku ukisali kampuni iwe na performance nzuri.
 
Kujifunza vizuri zaidi ni kufungua live account lakini udiposit pesa kidogo kalafu stop loss uweke kidogo na ptofit imagine pia uweke kidogo utaanza kupiga hela polepole au muda mwingine unapata hasara kidogo .hapo ndio umakini na ufwatiliaji utakuwa mzuri .na pia kama unataka upige hela fanya hii kazi jumanne na jumatano saa tatu mpaka saa sita halafu endelea na mambo mengine.hu muda uwezekano wa kupata faida ni mkubwa zaidi
 
Tatu usiku au asubui?
 
Naona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu bado umewakazia tu
 
Tuongee ukweli mkuu,forex trading kwa profit ya 1M ndogo sanaa
 
Tatu usiku au asubui?
Asubuhi
 
Tuongee ukweli mkuu,forex trading kwa profit ya 1M ndogo sanaa
Hata kwa biashara ya machungwa hiyo profit ndogo sana.

Hiyo inawezekana kabisa kuwa faida ya siku moja ukijipanga vizuri.

Ijumaa asubuhi nimeweka $450, baada ya masaa matatu nikaondoka na karibu $1500.
Hapo hata saa tatu asubuhi ilikuwa haijafika.

Hiyo ni faida ya zaidi ya 2.2 shs million in 3 hours.

Kuna kukosa pia vilevile, sio kila siku kupata,
 
Kweli mkuu,wengi wanaongea wasichokijua, forex habari nyingine aisee
 
Kweli mkuu,wengi wanaongea wasichokijua, forex habari nyingine aisee
Ila nasisitiza sana kuisoma kabla ya kujiingiza kichwa kichwa, kwa maana hata wataalam wenyewe wanaiheshimu market isivyokuwa na akili.

Keynes alisema "The market can remain irrational longer than you can remain solvent".

Na hapo ni kwa kipanga anayeijua market nje ndani.
 
Wataalam wenyewe ukiingia tu wataanza kukwambia usome mavitabu, unaweza ingia ukapata ukichaa, u can lose all kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…