Hahahaha Forex trading and binary option izi nibiashara pacha naweza sema na zina envolve high risk kwa watu ambao mnaingia kwa kukurupuka mtaria sana yan ......
Ni biashara ambayo haijawai kumuacha mtu salama yani kiukweli na ndio maana ata Ontario himself alitoa onyo na alikill kuwa aliwahi kuchoma account yake iliyokuwa na pasa mingi sana ......
Kila broker ambayo utaingia lazima ukutane na onyo na taadhari ya hali ya juu sana ni kiashiria kabisa siyo simple business like watu wanaichukulia sasahivi na ndio maana ata wenyewe uwa wanakusii na kukupigia hadi simu kwa baadhi ya broker ili kujua dhumuni na ujuzi wako katika biashara hii ili usipoteze pesa zako ukapata kifo cha presha ya gafra......
Uzuri wake , uzuri wa hii biashara ni kwamba inaweza kukufanya utajilike haraka ,kupata pesa ambayo watu amabao wanaipata kwa mwezi we kuipata kwa siku tu but ni razima uwe mtaarambu sana uwe umesoma sana umeelewa sana umefanya mazoezi kwenye demo sana umesoma indicator na kuzielewa sana, kama unatumia line au candlestick uzisome sana na uelewe tabia zake , yan ukave kwelikweli ili usiwe unapata loss za kijinga na nashauri kama unaweza tafuta mentor wa kukufundisha practically kama Ontario anavyotaka kufanya iyo ndio usaidia kwa mtu kumaster kwa araka zaid .
Muanzisha uzi alikua anaitaji kufaamu broker yupi ni mzuri kwa mtu ambaye ni begginer kuanza nayo Mamentor wengi ambao ni magwiji ushauri begginer kuanza na broker uyu ambaye ni XM broker hawa xm ukifungua account tu wanakupa ile bonus ambayo ni no deposit account ambayo ni $30 nakushauri anza na iyo pesa kuikuza mbaka kufikia mamilion na Uzuri wake minimum deposit ni $5 only ivyo ni nzuri
Ushauri usikurupuke kutrade kwa pesa kubwa wakati huna ujualo na ujuzi wako wa kuunga unga utaishia kilio kikubwa ........
Kila raheli traders
Note: Fx or Binary trading haijawaigi kumuacha treder salama
Sent by Me