Ndugu kama hutajali hebu tuambie elimu yako kwanza..maana naona iko shida mahali. AsanteNaona malalamiko yenu yamefika JF nimefungiwa kucomment kule kwa Ontario. Naomba unitumie ujumbe kwa wenzako kuwa yule preacher wa jehanamu amefungiwa ku comment kwa Ontario ili jehanamu ifanye kazi yake.
Ahaaa..nimekupata sasa..kumbe utanzania umekukaba kooo...dahNina elimu ya finance na mambo ya options, futures, arbitrage, bonds nk nayafahamu.......
Kuna risk kubwa sana. Watu waingie ila wajipange
Nami nimo kwenye hiyo biashara lakini my plan ni kwa mwaka kupata faida ya walau 1M ila si kama akina Ontario wanavyoenda
Vitabu, websites za forex, kufuatilia fundamentals na zinavyoingilia bei za fedha .Wataalam wenyewe ukiingia tu wataanza kukwambia usome mavitabu, unaweza ingia ukapata ukichaa, u can lose all kabisaa
faida unayoipata unaichukuaje/ unalipwajeLeo ukijipindua kidogo tu ku order position unayoona iko low ukasema niende msalani narudi baada ya dakika chache, unakuta position yako ishakubaliwa halapu USD/JPY imeshuka zaidi.
Inabidi mpaka chooni unaenda na simu halafu una control mc
hezo. Kama una safari ya kuendesha gari kutoka kazini mpaka nyumbani kimbembe. Volatility kubwa sana.
Mchezo hu hautaki hasira.
Kujifunza vizuri zaidi ni kufungua live account lakini udiposit pesa kidogo kalafu stop loss uweke kidogo na ptofit imagine pia uweke kidogo utaanza kupiga hela polepole au muda mwingine unapata hasara kidogo .hapo ndio umakini na ufwatiliaji utakuwa mzuri .na pia kama unataka upige hela fanya hii kazi jumanne na jumatano saa tatu mpaka saa sita halafu endelea na mambo mengine.hu muda uwezekano wa kupata faida ni mkubwa zaidi
nimejaribu kujiunga na nadex lakini Tanzania haipo nafanyaje hapoKwa NADEX -which is an options trading exchange- hela zako zote, si faida tu, hela zozote zilizoko katika account yako unaweza kuzirudisha katika bank account yako kwa kubonyeza kitufe tu.
Kitu kimoja ninachowapendea NADEX ni kwamba wako regulated under US laws kwa hiyo ujinga ujinga unaoweza kuuona sehemu nyigine hawa watu hawawezi kuufanya hata kama wanataka kwa sababu regulators wa US wamewashikia fimbo kubwa sana
Regulated & Legal for US Residents
Kabla ya kuingia NADEX na kwenye options - which is not exactly forex exchange- inabidi ujue haya
Options: Advantages and Disadvantages
Advantages and Disadvantages of Options
Inawezekana hawajajisajili kisheria kufanya kazi Tanzania. Unaweza kuwatumia email customerservice@nadex.com. Kawaida wako sharp sana katika kujibu.nimejaribu kujiunga na nadex lakini Tanzania haipo nafanyaje hapo
Ndugu kama hutajali hebu tuambie elimu yako kwanza..maana naona iko shida mahali. Asante
Kama unahitaji degree zingine zaidi kama masters unaweza omba utumiwe!Ndugu kama hutajali hebu tuambie elimu yako kwanza..maana naona iko shida mahali. Asante
Sisi tuko katika baishara siyo ubabaishaji. Na tunatengeneza pesa ya halali siyo kwa mitego ya njiwa!Ndugu kama hutajali hebu tuambie elimu yako kwanza..maana naona iko shida mahali. Asante
Al-watan any feedback about recent trading.Inawezekana hawajajisajili kisheria kufanya kazi Tanzania. Unaweza kuwatumia email customerservice@nadex.com. Kawaida wako sharp sana katika kujibu.
Ila leo ni sikukuu Marekani na hakuna kazi ofisi nyingi na hakuna major trading kwa hiyo wanaweza kuchukua mpaka kesho kukujibu.
Pia NADEX ni platform ya options trading yenye forex ndani pamoja na commodities, indices etc, siyo straight up forex trading platform.
The Advantages & Disadvantages of Binary Options Trading
I am doing options trading on NADEX, which is a bit different than unadulterated forex.Al-watan any feedback about recent trading.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
LikedKuna mtu yeyote hapa nchini (TANZANIA) aliyewahi kufanya biashara ya fedha za kigeni online????
kama yupo please tupe ujuzI........