Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Habari za kazi wakuu,
Katika jaribu jaribu nimebahatika kupata interview kwenye moja ya shirika kubwa hapa bongo na Interview itafanyika online.
Binafsi siyo mgeni kwenye interview lakini sijawahi bahatika kufanya online (face to face). Nimewahi kufanya paper ilitumwa kwa email lakini hii ya moja kwa moja tukiwa tunaonana sijawahi.
Kwa yeyote aliyewahi anipe mwongozo maana nilipigiwa simu nikaambiwa niwe SMART kimwonekano sababu watahitaji kuniona.
Asanteni