Online Marketing connection

Online Marketing connection

HAMISI Nuru

Member
Joined
Oct 11, 2019
Posts
23
Reaction score
17
Uzi huu ni maalum kwa wale watu wanaofanya biashara za mitandaoni na zisizo za mitandaoni ambao wanataka kuzitangaza biashara zao, tuna group la WhatsApp ambalo lengo lake kubwa ni kupigana tafu kwenye kuzitangaza biashara zetu.

Hivyo basi tunachokifanya watu wote wenye biashara zao wanajiorodhesha na biashara wanazofanya arafu tunakuwa na utaratibu wa kutangaziana biashara zetu kwa njia mbalimbali kama vile WhatsApp status na hata post.

Utaratibu tunaenda Kwa ratiba kwamba leo tunamtangazia mtu Fulani biashara yake basi group lote wanachama watakiwa wakuweke status hivyo kama ukiwa umepostiwa na watu 100 utakuwa umeifikisha mbali sana biashara yako.

FAIDA YAKE HII
1. Utalifikia Soko kubwa kwa haraka.
2.Utapata wateja wengine miongoni mwa wanagroup.
3.Unaweza kupata mawakala wa biashara yako kwa mikoa mbalimbali kwakuwa tayari wanagroup tutakuwa familia moja inayokutanisha watu kutoka maeneo mbalimbali ya nchi.
4. Unaweza kupata hata asilimia kidogo ya mauzo endapo umempa wateja wengi mtu fulani kwa kupitia status yako.
5. Hata yule ambae hana biashara anaweza akapata fursa kwa kupitia group hilo.

Ajira hakuna vijana tujitahidi kupambana na kujiinua wenyewe tusipoteze muda kulaumu watawala.

Kwa alie tayari anitumie meseji WhatsApp # 0689094097 aandike neno "add biashara" ntamfikia na ntamu-add.

Ahsanteni na karibuni.
 
Back
Top Bottom