Daaah na wewe umeamini kuwa ni Ai et ? Sawa ngoja tukubaliane hivi ila 29 mtajua kama imetengenezwa au laTanzania leo imezuka taharuki kubwa baada ya kusambaa kwa kasi Video ya anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Video hii sio ya uhalisia yametumika matumizi makubwa ya TEKNOLOJIA maarufu kama akili mnemba AI ili kutengeneza uhalisia wa kupotosha Jamii.
View attachment 3483293
UTanzania leo imezuka taharuki kubwa baada ya kusambaa kwa kasi Video ya anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Video hii sio ya uhalisia yametumika matumizi makubwa ya TEKNOLOJIA maarufu kama akili mnemba AI ili kutengeneza uhalisia wa kupotosha Jamii.
View attachment 3483293
NyokooTanzania leo imezuka taharuki kubwa baada ya kusambaa kwa kasi Video ya anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Video hii sio ya uhalisia yametumika matumizi makubwa ya TEKNOLOJIA maarufu kama akili mnemba AI ili kutengeneza uhalisia wa kupotosha Jamii
Lengo la kuchochea chuki na hasira kwa Wananchi dhidi ya Serikali kuu na ukitazama kamanda huyo amezungumza mengi na kuhamasisha Wananchi wajitokeze ili wakomboe Nchi yao kwa Maandamano na kuwa jeshi lipo bega kwa bega pamoja nao basi wasiogope
NB.Hiyo si video halisia imeundea ili Watanzania wapotoshwe
View attachment 3483293
Huyo ni Fala Tu kama mafala wenzake wa CCM naona anafikiri Sisi wengine ni wajinga kama waoU
Hii siyo AI hata kidogo
Waambie wakawadanganye mafisadi wenzao na familia zao.
Mtatengeneza sana mwaka huu. Jueni CCM mwaka huu ndo mwaka wa mwisho kutawala