Online Media: Video ya Kapteni Tesha siyo halisi, imetengenezwa kwa akili mnemba (AI)

Online Media: Video ya Kapteni Tesha siyo halisi, imetengenezwa kwa akili mnemba (AI)

Baadhi ya Online media zimeandika taarifa ambayo ikieleza kauli alizozungumza anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ikieleza Nchi ya Tanzania ikiwa imefikia pabaya. Lakini inaonekana kama ni maagizo ambayo yametoka na kuanza kukanusha kwamba alichozungumza ni sahihi ni imetumika AI kupotosha umma

Ujumbe huo ni huu hapa chini ambapo wote wameandika kwa kufanana
====================

Tanzania leo imezuka taharuki kubwa baada ya kusambaa kwa kasi Video ya anayetajwa kuwa ni Kapteni wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) Video hii sio ya uhalisia yametumika matumizi makubwa ya TEKNOLOJIA maarufu kama akili mnemba AI ili kutengeneza uhalisia wa kupotosha Jamii

Soma Pia: Mwanajeshi, Kapteni Tesha ajitoa muhanga kuongea hatari ya Taifa linapoelekea

Lengo la kuchochea chuki na hasira kwa Wananchi dhidi ya Serikali kuu na ukitazama kamanda huyo amezungumza mengi na kuhamasisha Wananchi wajitokeze ili wakomboe Nchi yao kwa Maandamano na kuwa jeshi lipo bega kwa bega pamoja nao basi wasiogope

NB.Hiyo si video halisia imeundea ili Watanzania wapotoshwe

View attachment 3483293
View attachment 3483307
Waliotaka kumnyonga Tundu Lisu Kwa kesi ya kumpakazia sasa watanyongwa wao Kwa haki.
 
‼️🚨CONFIRMED CAPTAIN JOHN CHARLES 🚨‼️

Imethibitishwa
Jina: John Charles Tesha (J. C. TESHA)
Rank: Captain
Intake No. 58, 2014
Force No. P. 13353

Taarifa za July 22, 2025 zinathibitisha Tesha bado ni "active" (A1)
Ni mkufunzi wa zana za anga za kivita katika shule ya kijeshi ya anga SAK (Airwing) ndani ya Airforce

Machawa leo watalala na viatu!
20251004_201233.jpg
 
Back
Top Bottom