Online Media: Video ya Kapteni Tesha siyo halisi, imetengenezwa kwa akili mnemba (AI)

Mkuu uwe makini na taarifa zako. Usijitafutie matatizo.

Kwa hiyo Kanali Benard Msemaji wa Jeshi unataka kusema kakosea?
 
^Nimeambiwa hapa kwamba unajua kwenye protocol za Jeshi

Captain anaongoza kikosi kizima so huyu kwenye kikosi chake tu akiamuru kiwake kinawaka mazima maana akiita parade wanakuja wote mpaka walioko nje ya Dar.

Halafu Mwanajesh mmoja ni sawa na police 3-5.^

Haya mambo ndo nimejua leo, yajayo yanaburudishaπŸ˜‚
 
Huyo aliyekuambia amekudanganya
 
Heri ya kudanganywa na teknolojia hiyo ya Akili Mnemba kuliko kuwa msukule wa akina Abdul, Rostam na wengine kama vilivyo hivyo vinavyojiita 'Online Media'
 
KUpitia ujumbe huuπŸ‘†πŸ‘†

nime gundua kwamba Huenda viongozi wetu Wana tuona watanzania hamnazo sana
 
Naomba kujua AI unaweza kufanya ukiwa live maana jamaa alikuwa live so hapo amefanyaje??Jipeni moyo tu lazima mtakalia mwaka huu taka usitake.....
 
Nimechecka kinoma machawa wote hawana tofauti na mashoga tu wanafi.rwa
 
Mpaka Tarehe 29 Maji Na Mafuta Vitajitenga Very soon
 
Msemaji wa jw alikataa kwmb huyo si tesha? Jbu hakumkana kbs sasa ww msengerema wa biharamulo kabindi unamkataaje huyo si tesha wkt taasisi kama jw haijamkana kwmb ni AI mamamaeee wallah ccm MUNGU ANAWAONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…