kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Online Media (tv na radio) ni nyingi sana humu mitandaoni.
Watu wanapata taarifa mbalimbali kwa haraka kupitia vyombo hivi kuliko Redio na Television za kawaida. Instagram na YouTube ndio mitandao inayotumika kupata habari na taarifa nyingi za vyombo vingi vya habari. Lakini Kuna social media ambazo taarifa zake lazima uchanganye na akili zako unapozisoma au kuzisikiliza maana nyingine ama zinavutia wateja TU au zimeelemea upande.
Kuna social media ambazo habari zake Zina nafuu kubwa kwenye kuaminika (integrity).
Kwa maoni yangu Mimi vyombo vifuatavyo vinaongoza kwa kuaminika mitandaoni:
1. Ayo tv
2. Azam tv
3. Mwananchi media
Sijui kama na wewe unaona kama Mimi?