Online purchasing Crdb na Alibaba

Online purchasing Crdb na Alibaba

Massawe909

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2017
Posts
310
Reaction score
469
Wakuu wasalaam..

Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform

Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%

Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd

Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd

Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform

Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd

ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh

Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh

Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh

Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi

Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?

Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?

Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi

Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019

NawasilishaView attachment TARIFF-GUIDE-2019.pdf
 
xchange rate sio fixed kuna siku inafikia hadi 2400
Exchange rate ya leo 2315usd
Screenshot_20190716-152754.jpeg
 
Achanao hao crdb kuna muda unaweza kulipia pesa kwa paypal lakini utakuta salio halikatwi kwa wakati huo uliolipia bidhaa ukiangalia salio lile lile akati nimelipia bidhaa nilikuja kushtuka ni kama kuna ujanja flani watu wanafanya uhuni utapata mawazo tu nilishaachana nao kitambo tu sasa natumia mpesa card ambao wameunganisha na bank abc malipo chap na sms ya makato inakuja hapo hapo hakuna usumbufu wowote
 
Je nifanye nini ili acc ya mpesa mater card iweze ku- link na PayPal?

Mkuu nimekuelewa hawa jamaa ni wezi sana wanafanya utapeli wa wazi wazi kabisa ila hili lazima wakanipe maelezo ya kutosha
Nampango wa kwenda crdb azikiwe nikaonane na online purchasing manager kama wanae
 
Wakuu wasalaam..

Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform

Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%

Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd

Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd

Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform

Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd

ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh

Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh

Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh

Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi

Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?

Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?

Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi

Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019

NawasilishaView attachment 1155016
CRDB hawaeleweki,Mimi huwa natumia EQUITY BANK na sijawahi pata hizo mambo.Naona tangu Kimei aondoke mambo ni mrama pale CRDB
 
Mkuu nimekuelewa hawa jamaa ni wezi sana wanafanya utapeli wa wazi wazi kabisa ila hili lazima wakanipe maelezo ya kutosha
Nampango wa kwenda crdb azikiwe nikaonane na online purchasing manager kama wanae
Hawawezi kuwa na Cheo hicho hawa...Ila hio ya MPESA nitaijaribu pia
 
Mm nadhani issue iko hapo kwenye exchange rate, Hiyo 2315 ni ya kwenye soko letu huku bongo, alibaba kama soko wana exchange rate yao, ni mtazamo tu sina uhakika sana.
 
Mkuu usiangalie hiyo exchange rate kwenye sign board, juzi mi nilifanya transfer Singapore lakini pesa iliyokatwa ni nyingi kuliko ile inayoonyesha.
Mi nafikiri Kuna hidden charges au rate zao ni tofauti na wanayoweka kwenye kibao.
 
Mm nadhani issue iko hapo kwenye exchange rate, Hiyo 2315 ni ya kwenye soko letu huku bongo, alibaba kama soko wana exchange rate yao, ni mtazamo tu sina uhakika sana.
Exchange rate ni hiyo hiyo mkuu tena kwa sasa bidhaa nyingi wameandika shiling ya kitanzania
 
This is so true...
Wakuu wasalaam..

Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform

Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%

Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd

Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd

Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform

Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd

ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh

Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh

Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh

Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi

Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?

Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?

Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi

Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019

NawasilishaView attachment 1155016
 
Mm nadhani issue iko hapo kwenye exchange rate, Hiyo 2315 ni ya kwenye soko letu huku bongo, alibaba kama soko wana exchange rate yao, ni mtazamo tu sina uhakika sana.
Hili ndiyo jibu sahihi.
 
crdb wapuuzi sana mkuu ,nimewahi kufanya online purchase mara kibao wanachelewa mno kukata ela kutoka kwenye account
 
Kwa online napendaga kiwatumia banc ABC wakifuatiwa na equity bank, crdb niliahiirisha zoezi la kuwatumia kwasababu nilizungushwa sana kujisajili Huduma yao ya kununua vitu mtandaoni.
 
crdb wapuuzi sana mkuu ,nimewahi kufanya online purchase mara kibao wanachelewa mno kukata ela kutoka kwenye account
Nilichokuja kugundua kuna wajanja wachache wanapiga hela kidogo kidogo bil wewe kujua ndo mana wanazuia pesa zisiende kwa wakati inamana wewe mteja unakuwa unashindwa kujua makato ni kiasi gani mana ukiangalia salio unakuta ni lipo vile vile wakuja kukata baada ya miez miwili mbele
 
Najiuliza hii bank ina maana wakurugenzi na wanahisa hawalioni hili?
Maana malalamiko ni mengi sana mtaani lakini hawatoki hata siku moja kutoa ufafanuzi kuhusu huduma hizi zinazo laumiwa kila siku
Sasa nafunga account yangu rasmi natafuta bank nyingine nzuri ya kuhamia
 
Back
Top Bottom