Online purchasing Crdb na Alibaba

Online purchasing Crdb na Alibaba

Exchange rate ya debit cards zetu huwa juu more than 100sh per dollar.

VISA ya Equity huwa wananibadilishia $1 =2444

MPESA Mastercard wanakula 2540

Kama una option ya kuwa charged kwa TZS, yani huko unakonunua wafanye currency conversion wenyewe, itakuwa much cheaper
Wakuu wasalaam..

Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform

Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%

Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd

Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd

Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform

Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd

ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh

Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh

Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh

Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi

Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?

Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?

Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi

Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019

NawasilishaView attachment 1155016
 
Exchange rate ya crdb sio exchange ya alibaba au bank kuu, kuwa mpole tu , shukuru hukupata overdraft.
Ukitaka kulipa kiwango unachoona online ni kuwa na account ya USD.
 
Mimi nawashangaa sana mnang'ang'ania hizo wakati kuna nmb na nimeshafanya online transactions mara nyingi tu na wanakata hapohapo unapofanya malipo mtaandaoni mesej inaingia muda huo huo unapofanya malipo, na hakuna makato ya bidhaa unayolipoa wakata kiasi kile kile cha bidhaa unayotaka kununua
 
Wakuu wasalaam..

Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform

Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%

Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd

Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd

Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform

Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd

ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh

Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh

Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh

Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi

Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?

Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?

Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi

Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019

NawasilishaView attachment 1155016
You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...

Kwanza fungua account ya dola kwenye benkiunayoipenda, NMB, Stanbic, backlays na KCB naona wako vizuri eneo hili (visa card zao zina 2FA ambayo ni added level of security)!!

ela zako za TSH badilisha ziwe USD (nenda crdb watakubadilishia, ila kama una ela nyingi unaweza ongea nao wakakupa rate nzuri!!)

Baada ya kupata USD nenda kaweke kwenye account ya dola!!

Unapofanya manunuzi tumia account yenye USD na sio account yenye TZS!!

CRDB rate zao ni 2315 per 1USD!!

Kutumia mpesa itakukula pesa kijinga tumia bank hizo nlizokushauri hapo juu!!
 
Wakati wa kutrade hapo ktk exchange rate uliangalia buying au selling rate??
 
You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...

Kwanza fungua account ya dola kwenye benkiunayoipenda, NMB, Stanbic, backlays na KCB naona wako vizuri eneo hili (visa card zao zina 2FA ambayo ni added level of security)!!

ela zako za TSH badilisha ziwe USD (nenda crdb watakubadilishia, ila kama una ela nyingi unaweza ongea nao wakakupa rate nzuri!!)

Baada ya kupata USD nenda kaweke kwenye account ya dola!!

Unapofanya manunuzi tumia account yenye USD na sio account yenye TZS!!

CRDB rate zao ni 2315 per 1USD!!

Kutumia mpesa itakukula pesa kijinga tumia bank hizo nlizokushauri hapo juu!!
Asante sana mkuu nitafuata ushauri wako boss
 
Vip NMB wako vizuri katika soko la ununuzi mtandaoni
You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...

Kwanza fungua account ya dola kwenye benkiunayoipenda, NMB, Stanbic, backlays na KCB naona wako vizuri eneo hili (visa card zao zina 2FA ambayo ni added level of security)!!

ela zako za TSH badilisha ziwe USD (nenda crdb watakubadilishia, ila kama una ela nyingi unaweza ongea nao wakakupa rate nzuri!!)

Baada ya kupata USD nenda kaweke kwenye account ya dola!!

Unapofanya manunuzi tumia account yenye USD na sio account yenye TZS!!

CRDB rate zao ni 2315 per 1USD!!

Kutumia mpesa itakukula pesa kijinga tumia bank hizo nlizokushauri hapo juu!!
 
Achanao hao crdb kuna muda unaweza kulipia pesa kwa paypal lakini utakuta salio halikatwi kwa wakati huo uliolipia bidhaa ukiangalia salio lile lile akati nimelipia bidhaa nilikuja kushtuka ni kama kuna ujanja flani watu wanafanya uhuni utapata mawazo tu nilishaachana nao kitambo tu sasa natumia mpesa card ambao wameunganisha na bank abc malipo chap na sms ya makato inakuja hapo hapo hakuna usumbufu wowote
hivi paypal inafanya kazi bongo?
 
Wakuu wasalaam..

Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform

Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%

Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd

Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd

Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform

Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd

ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh

Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh

Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh

Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi

Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?

Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?

Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi

Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019

NawasilishaView attachment 1155016
Sijajua benki walikupa sababu gani. Ila based on my experience with M-Pesa Mastercad unapolipia online purchase yako wanakukata 4% ya thamani ya gharama za hela unayolipia. Kama CRDB nao wanautaratibu huo wa kukata hela kila ulipiapo bidhaa mtandaoni, kwa hiyo kiasi ulichokitaja basi watakuwa wanakata asimilia 3% ya malipo yako.

6,673,219×3%= 200,196.57
Kiasi ambacho kinalingana na hicho ulichokitaja.
 
Ni sawa mkuu na Kama ni hivyo mbona hawaweki wazi Hizo taarifa ?
Mbona mpesa master card fee zao zipo wazi kabisa

crdb wanakuwa na hiden cost maana ukiangalia kwenye tariff guide yao hamna Hizo fee
 
Sijajua sababu za kutoweka wazi hilo.
 
Aisee juzi Kati CRDB walinizingua hadi nikasajiri line ya voda. Halafu wawe open kwenye transaction fee
 
You are not serious!! sasa huu ndio ushauri wangu...

Kwanza fungua account ya dola kwenye benkiunayoipenda, NMB, Stanbic, backlays na KCB naona wako vizuri eneo hili (visa card zao zina 2FA ambayo ni added level of security)!!

ela zako za TSH badilisha ziwe USD (nenda crdb watakubadilishia, ila kama una ela nyingi unaweza ongea nao wakakupa rate nzuri!!)

Baada ya kupata USD nenda kaweke kwenye account ya dola!!

Unapofanya manunuzi tumia account yenye USD na sio account yenye TZS!!

CRDB rate zao ni 2315 per 1USD!!

Kutumia mpesa itakukula pesa kijinga tumia bank hizo nlizokushauri hapo juu!!
Vp bancABC.
 
Back
Top Bottom