ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Exchange rate ya debit cards zetu huwa juu more than 100sh per dollar.
VISA ya Equity huwa wananibadilishia $1 =2444
MPESA Mastercard wanakula 2540
Kama una option ya kuwa charged kwa TZS, yani huko unakonunua wafanye currency conversion wenyewe, itakuwa much cheaper
VISA ya Equity huwa wananibadilishia $1 =2444
MPESA Mastercard wanakula 2540
Kama una option ya kuwa charged kwa TZS, yani huko unakonunua wafanye currency conversion wenyewe, itakuwa much cheaper
Wakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd
Kwahiyo 2800usd x 2.95% = 2882.60usd
Kwahiyo jumla ya gharama nilizotumia kununua mzigo wangu pamoja na trade insurance fee ni 2882.60usd
Nimefanya malipo yangu kwa njia ya credit card yangu ya CRDB kwenye Alibaba platform
Tatizo langu lipo hapa naomba mnisaidie wajuvi
Kwa Alibaba amechukua zake 2882.60usd
ambazo ni sawa na 2882.60 x 2315= 6,673,219tsh
Kwenye account yangu nilikuwa na 7,035,000tsh
Ila baada ya manunuzi nimejikuta nabakiwa na 164,000tsh
Wakati kimsingi ingetakiwa ibaki (7,035,000 - 6,673,219) 361,781tsh
Sasa najiuliza hii 197,781/= imeenda wapi
Je, Crdb wana makato wakati wa kufanya purchase online?
Kama wana makato ni % ngapi?
Je, exchange rate ya crdb wakati wa kufanya online purchase ina panda na sio 1usd = 2315tsh?
Nimeangalia kwenye crdb tarif guide ila sijaona wajuzi hebu tuasaidiane hapa
Hii itasaidia hata na wengine pia ambao wamekuwa patwa na mikanganyiko kama mimi
Nimembatanisha Tarif guide ya CRDB 2019
NawasilishaView attachment 1155016