Online Purchasing

Online Purchasing

MABAGHEE

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Posts
682
Reaction score
126
Jamani ninahitaji kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali online kwa kutumia CRDB card yangu. Nifanyeje? Masharti gan yanatakiwa kufuatwa ili niwe nanunua bidhaa kutoka america, ulaya ana asia kwa kutumia kadi yangu ya benki.
 
Kabda hujajua jinsi ya kutumia kadi yako..fanya utafiti kampuni gani ni nzuri maana wengine si wakweli na vitu vyao si quality..ila yapo mengine ni mazuri sana vitu vyao vizuri na hawana longolongi
 
Kabda hujajua jinsi ya kutumia kadi yako..fanya utafiti kampuni gani ni nzuri maana wengine si wakweli na vitu vyao si quality..ila yapo mengine ni mazuri sana vitu vyao vizuri na hawana longolongo
 
Baada ya kugundua uhakika wa kampuni unayotaka kununua item, waambie wakupe invoice yenye acc number na swift cose yao.........wakikupa unaipeleka crdb, nao crdb watatuma kwa ada yao nadhani ni $50/- lakini kama wewe una account na wao ndio wanakubali!
Jitahidi uwe umeenda kubadili tshs (hela zako) kwa US$ katika bureau, ili ununue dola kwa bei rahisi uende nazo bank kuliko ukienda na shilingi benk watakubadilishia amount kwny invoice kwa rate zao.
 
@ mabaghee.. ... Kaka Salam kwako kwanza! Aisee Sijui wewe unakadi gani ya Crdb ila mimi ninayo tanzanite. Mzeee ni bomu kichizi. Niko U.S nafanyaga ka biashara ka kuwanunulia vitu watu wananiagizia then nawatoza kiasi cha asilimia kadhaa ya mzigo wao. Yaani at times napataga lawama sana kwani kadi inagoma kutumika online na hata dukani. Once in a while itatumika amazon.com bila ya shida but Mzee kadi Yao sio reliable at all. Na cha kusikitisha zaidi customer service Yao ni mbovu kichizi. No body knows kwanini kadi haifanyi kazi na hakuna cha ufumbuzi wa Hilo swala. Nakushauri ukajaribu kufungua stanbic bank. NimepAta reviews nzuri, na mimi niko kwenye harakati za kuhamia uko .
Sijui wewe unaweza kuwa na bahati but Crdb is some ----ed up bank seriously
 
Baada ya kugundua uhakika wa kampuni unayotaka kununua item, waambie wakupe invoice yenye acc number na swift cose yao.........wakikupa unaipeleka crdb, nao crdb watatuma kwa ada yao nadhani ni $50/- lakini kama wewe una account na wao ndio wanakubali!
Jitahidi uwe umeenda kubadili tshs (hela zako) kwa US$ katika bureau, ili ununue dola kwa bei rahisi uende nazo bank kuliko ukienda na shilingi benk watakubadilishia amount kwny invoice kwa rate zao.

Mkuu umenena vizuri, ila nadhani unaongelea TT na sio purchasing ya kutumia ATM card anayoulizia MABAGHEE
japo TT ndio njia salama na uhakika zaidi sema inagharama na lazima uende benki.

Kuhusu manunuzi kwa kutumia kadi ya CRDB, kwanza kabisa lazima ujaze form ya kuomba ku activate kadi yako ili uweze kuitumia online. Fomu hii unaipata kwenye tawi lako ( kwa mujibu wa mfanyakazi wa CRDB PPF tower branch).

Ila ningekushauri upate kadi ya nabk ABC ili uwe unaweka hela pale unapotaka kufanya transaction tu, mimi natumia hiyo naogopa watu wakiamua kuniibia kadi yangu ya account nnayoitumia wataniumiza sana tofauti na kadi ya ABC ambayo huwa naweka tu kile kiasi nnachotaka kukitumia online, na hata kadi ikipotea ubadilishaji wa kupewa kadi nyingine ni wa haraka, siku hiyo hiyo unapewa kadi yako mya.

Ubarikiwe
 
Last edited by a moderator:

hapa sasa nimeelewa........
 
Jamani nawashukruni sana kwa maoni yenu. Niliwahi kwenda pale CRDB UDSM (ndipo nilipofungulia card yangu). Kuna dada mmoja mtoto wa kigogo wa CRDB, hana chembe ya customer care. Majibu yake ni ya mkato as if hela atakupatia yeye. Najua kuna wizi wa mtandao mfano unaweza kuhitaji kitu ebay lakini jamaa wakahack contact za ebay na mwishowe utatuma hela kwao bila kujua. Wezi hao wako Romania na Nigeria.
 
ha ha ha ha!!nikisikia ameondoka pale nitafanya sherehe!!natamani hata achomoke...
 
Dah! wanaweni mi naomba niulize!! hivi hapa kwetu hizi kadi zetu za visacard/ master card - hazina card number, date and the year of expire?? kisha nyuma ya kadi kuna 3 digits ambazo unamalizia kisha wire yoyote ile international inakubali bila kuongea au kujadiliana na benki as long kwenye account kuna karanga!! nitoeni ushamba mwenzenu. kw sababu kuna binadamu mmoja alifanya hayo ya juu hapo bila longolongo ila kadi yake ni visa kadi ya kutoka kwa wenzetu kule wanaoishi karne ya 27 already now 🙂
 
...Mkuu, na mimi ndio nilikuwa najiuliza haya! Maana na mimi nafanya hivyo hivyo unavyofanya kununua bidhaa mbali mbali kama Novel, Dvd na kadhalika na sina haja ya kumuomba nani ama kupitia kwa nani zaidi ya hivyo ulivyosema na mambo yanajipa bila kelele wala mikwaruzo...!

Jamani ninahitaji kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali online kwa kutumia CRDB card yangu. Nifanyeje? Masharti gan yanatakiwa kufuatwa ili niwe nanunua bidhaa kutoka america, ulaya ana asia kwa kutumia kadi yangu ya benki.

Hello Kaka,
Ukitaka upata experience nzuri ya kununua vitu kwenye mtandao hakikisha unazingatia vitu vifuatavyo
1. Kadi ya online purchase yenye usalama. Ni vizuri ukawa na kadi isioingiliana na account yako ya benki.
2. Kadi ambayo unaweza
a. Kuipata kwa urahisi na
b. Ku recharge kwa haraka
3. Kadi isiyokuletea errors nyingi wakati wa kufanya purchase.

Kwa experience yangu ya miaka mingi ya kununua vitu online, sikushauri kutumia kadi ya CRDB kwani
a. Ni kadi iliyolink na bank account
b. Ni kadi ambayo binafsi imeniletea errors nyingi kuliko kadi yoyote

Kadi ambazo nimezitumia ni CRDB, KCB na ABC.
The best so far kwa experience yangu ni ABC kwa sababu zifuatazo:
a. Kuipata ni haraka - inachukua dakika chache kumiliki hiyo kadi
b. Huhitaji akaunti ya benki kuwa na kadi hiyo - hiyo kadi imekuwa design kwa ajili ya online purchase.
c. Ukisha deposit pesa unaweza ukafanya purchase hapo hapo. KCB na CRDB inachukua muda.

Natumai hiyo info itakusaidia.
----------------------------------------------------------------------------------------------------------------
Dr. Said is a medical doctor (MD), Entrepreneur and a home based business coach. He's the current CEO of Strategic Marketing & Design, a company which helps business owners increase their profits using strategic marketing.

He spends most of his FREE time blogging about business, entrepreneurship and marketing on his blog site SaidSaid.Net.

To learn more from him, make sure you subscribe to his FREE Strategic Marketing Course.
 
Back
Top Bottom